@gem89898: Replying to @judi48959

G:E:M
G:E:M
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 16:48:43 GMT
59680
2696
94
187

Music

Download

Comments

roma71749
Roma :
Mondi akizeeka😊
2026-10-09 10:23:29
11
theresiangoda321
theresia :
hakika kwa mungu hakuna uzee. MUNGU Akubarki Babu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 12:56:56
5
userjoseenation
joseeenation :
asnteeeeee baba umetishaaaaaa
2026-10-09 07:39:11
0
gambo.matano
gambo matano :
i love this. uzee wa Yesu. ujana wake ulikuwa fire zaidi. sisi nasi tujifunze kutokana na huyu. ikiwa bado tuko na nguuv8 nyingi wacha tumchezee vyema kabisa na kwa heshima!
2026-10-09 11:22:10
3
twin.alex5
@Twin Alex :
mang'oma ya kinyakyusa home🥰
2026-10-09 12:53:12
3
michael.rabison7
Michael Rabison :
umenifrahisha sana mzee wang
2026-10-09 08:46:22
10
user8115120171788
Tina cllan :
apo Kila mtu macho Kwa mzeee🥹🥹
2026-10-09 08:20:58
10
estherjulius238
esther julius :
au Ai jaman
2026-10-09 11:52:35
1
mwapinganaomi
MwapingaNaomi :
Oho Haleluya Jamani Naenda kuingia namimi kwaya kwa yesu hakuna mzee
2026-10-09 12:06:13
3
berenia.a.k.a.sma
berenia a.k.a smallfishBerenia :
wakati wa ujana wake alivuka stage😅
2026-10-09 11:26:28
2
amossishimba
Amossi Shimba :
tulio kimbilia komenti tujuane
2026-10-09 12:18:04
1
peter.k572
Peter k :
huyu atuenjoy🥰🥰
2026-10-09 09:23:51
1
shekh_bashiru_mandwanga
Mandwanga land agency :
nikizeeka nitaacha baada ya kuzeeka😂😂
2026-10-09 10:54:23
4
doriepenna
Dorie🍎Essence🌸 :
Nlidhani museven😂😂😂 RAIS WA UGANDA
2026-10-09 09:38:30
2
esthergrace020
~£sta🍒🌻 :
humu tu😂
2026-10-09 09:45:19
1
silon.shedy
silon shedy :
alafu lime cheza vizuri kuliko wote😂🤣
2026-10-09 10:07:14
1
macoboy77
Macoboy :
waooo
2026-10-09 07:55:50
1
shedrack.mwendwa62
minister shedrack :
ilikuwa fire
2026-10-08 21:36:51
3
user531685281385
user531685281385 :
MUNGU akutunze san babu
2026-10-09 09:14:18
1
francis.david.mwa
junching :
huyo ni kijana
2026-10-09 06:16:31
1
nick.michael54
Nick michael :
ongera babu
2026-10-09 11:49:57
2
babylinadavid
chimamy :
nimwepes balaaa
2026-10-09 14:36:40
0
baba.g3455
baba G :
2026-10-09 14:24:30
0
seyrifa
SEYRIFA⁷⁵ :
@SEYRIFA⁷⁵:@SEYRIFA⁷⁵:nimecheka mpk nimehisi njaa nimeamka nipike nimekuta jiko halipo sasa napikia nn nikaenda kwa mangi kununua ugali nikapanda meli mpk gongolambot kufata nynya chungu mara tunauza ugali mweupe sasa m nakulaga bas bn tukamuua kwenda kwa joi sasa joi mbn kasafir m nitakula nn mara ahmed kasema leo ali sawa m naend kula kdg mara katokea mwingin el ali kamwe ugali sasa m naenda kununua chips kanzu sasa m mwislam nimekaa chin nina njaa nakunywa maj na maziwa nashiba nalala pole kwa kusoma text angu sasa m nimekutuma s unge skip😁😁😁😁
2026-10-09 14:34:10
0
gidion.majula0
Gidion Majula :
halafu kamesahau kabisa kuwa cku kuna tiktok.!
2026-10-09 14:32:14
0
To see more videos from user @gem89898, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About