@clinico_care: 👶🤰 SABABU ZA MTOTO KUPIGA MATEKE TUMBONI Mtoto anapiga mateke tumboni kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kujisogeza, kunyoosha mikono na miguu, kujibu sauti au mguso, na wakati mwingine kutokana na mama kubadilisha mkao. ❤️ 👉 Harakati hizi ni sehemu ya kawaida ya ukuaji wa mtoto tumboni. ⚠️ Lakini kama mama umezoea mtoto kusogea na ghafla harakati zimepungua sana au kutoweka, ni muhimu kwenda kituo cha afya kwa uchunguzi. Mtoto wako huwa anapiga mateke zaidi muda gani—usiku au mchana? 😍👇 #Mimba #MtotoTumboni #PregnancyTips #MamaMjamzito #AfyaYaMamaNaMtoto