boss mambo vipi unaweza ukamtumia mzigo nikapokea ndo nikalipa maana sasa hivi watu wengi ni matapeli unaweza ukatuma pesa na usione mzigo kwa hiyo kuaminifu zaidi mi napenda mzigo ndipo nitoe hela uko tayari boss tufanye biashara mimi niko mkoani arusha