@barackymchomvu: 🚨 CHECKLIST YA NECTA YAWAUMIZA VICHWA WAKUU WA SHULEWakuu wa shule wameanza kupata presha baada ya maandalizi ya mitihani ya kitaifa kusogezwa mbele, huku suala la vifaa vya practical likianza kuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya shule.Kwa kawaida, NECTA hutuma checklist ya vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya mitihani na practical, kisha wakuu wa shule huwapatia wataalamu wa maabara na walimu wa masomo husika ili kukagua ni vifaa gani vipo na ni vipi vinahitaji kuongezwa au kununuliwa.Vifaa hivyo vinahusu masomo