@mzeewahekma: Umejifunza nini hapa kwa huyu mlinzi msomi?? ☝🏽 #kigamboni #daressalaam #nairobitiktokers #somalitiktok #swahilitiktok

MZEE WA HEKMA👨🏽‍🦳
MZEE WA HEKMA👨🏽‍🦳
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 17:41:02 GMT
379294
48537
473
731

Music

Download

Comments

nancy_be2
Nancy Nancy :
usimudarau usiye mjua
2026-10-09 03:27:52
43
mkashaho
mkaliwao :
polesanakaka
2026-10-08 18:57:28
24
ali.omari496
Ali Omari :
part 2,3,3&5
2026-10-09 13:58:25
2
kababaaa254
kababaa 254 :
shida ni kwamba wanadharau security
2026-10-09 03:52:06
39
user7792210581850
mary mluhya :
don't judge a book by it's cover
2026-10-09 05:49:58
0
norah.kemz.mose
Norah kemz Mose :
amen
2026-10-08 19:56:01
17
kihingslifesonkol
kihings@lifesonkolism :
Kwani kazi ya ulinzi ( security officer) ni mbaya au mawazo tu ya watu kukariri?
2026-10-09 05:21:48
17
0700336447m
Michael Kiminza :
thank you God bless 🙌
2026-10-09 05:59:35
2
lesiana.kiluwa
nasha baby❣️❣️ :
usimzarau usie mjua
2026-10-08 19:27:01
12
aliceouma520
Alicia Lizzy :
never underestimate anyone
2026-10-09 04:53:42
1
user65573309907866
meryline01 :
ndio kaka yangu iko siku mungu atanua mtu kutoka shini
2026-10-09 09:26:22
6
michaelamosmichael
Michael Amos Michael :
nimejifunza kumuheshim kra mtu
2026-10-08 18:30:50
8
barnito89
barnito :
Inauma sana ,
2026-10-09 12:54:03
1
user5036782855668
Miano tz :
usimdharau usie mjua
2026-10-09 05:18:21
3
lilq_cutepie
Cutepie 😍 :
Meneja limemshuka vp😂😂🙌
2026-10-08 19:38:08
7
user6917579069207
Emmanuel Mungazi :
next part
2026-10-08 21:08:50
4
mamu.sumy
mamu sumy :
usimdharau mtu usiyie njua
2026-10-09 13:23:00
1
user867939230803
Official 💞 naah :
waoooooooooooo
2026-10-09 03:25:47
2
rose.kisura
ROSE KISURA :
nimependa na kuelewa tunaomba mwendelezo
2026-10-09 04:06:48
9
advestinamkazambi
Advestina Mkazambi :
usimudarau usiye mujua
2026-10-09 04:16:02
4
user47036959513196
r s mm :
hongera sana bosi kumuona huyo mlizi Asante sana mungu akubaliki sana
2026-10-09 04:42:56
4
ja569521
Ixaiah🥰 :
hautajuwa mtu amesoma hadi akwaambie😂😂
2026-10-09 13:44:17
1
anitakulanga
Anita Kulanga :
usimzarau mtu kwa muonekano
2026-10-09 09:21:19
1
fidoooooo_254
josiah jř :
Nimejifunza tusidharau wengine kwa tabaka
2026-10-09 13:08:54
2
anthony.kajia
😋😋Anthony Kajia :
sishangai hata mm juzi nilienda kuomba kazi kiwanda cha wazo hill kipo tegeta njia ya kwenda madale goba kwa muonekano nilio kua nao nikaonekana siwezi kufanya kazi ila kuna jamaa akasema msimnyime kazi mpeni tione asipo weza anaondoka ila nilikubalika nanika heshimiwa mpaka sasa naheshimika twiga cement
2026-10-09 04:45:09
4
To see more videos from user @mzeewahekma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About