sio kweli😂😂😂 mm nakataa banaa watu wana siri zao bana watu wanakopaa woiiiii
2026-10-09 10:47:47
12
Trench_42 :
Labda zee code yeye ndo ajifunze kwangu 😂
2026-10-08 20:38:41
70
dee_mimy❤️ :
Hv nyie mna uwakika gan kwamba hamcheat au mnavosema mmoja mnamaanisha nn😁
2026-10-09 10:35:03
5
Kidah_Breezy✨😎 :
Ukiwa na wanne ni baraka telee😂😂
2026-10-09 06:52:18
15
men 🛣🚚 trucks 🚥🇹🇿🦺🚨 :
mi nina zaidi ya 5 😁😁😁😁 ila baraka zitakuja tu ila siwezi kua na 1 iyo never😁😁😁
2026-10-09 08:27:01
5
LINDA MFOI🦋🌹🦋 :
iv nyie mnajua sir za watu🤣🤣
2026-10-09 06:43:42
9
🦋saida🦋 :
Mtapost wenzen hivy hivy[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-09 10:03:07
1
neylee💮🍓 :
ukweli mtupuu
2026-10-09 04:31:13
21
R U S S I A N 🎲 :
Samahani mmeona video zangu zilizovuja
2026-10-09 07:26:37
5
Hunter photographer :
Na pia sio tu kwa mwanaume kuwa na mmoja bali hata kwa mwanamke kutulia kwa mwanaume mmoja na kuamini katika process kutampa hizo baraka uyo mwanaume .
2026-10-08 21:31:42
23
RITAH❤️ :
Na chidisendo
2026-10-09 04:27:48
6
Abduly Onana⚽️🥅 :
ikitoka style mpya atajuaje
2026-10-09 00:47:02
5
veemaswaga :
Kwakweli dada😁🥰🥰🥰upewe mauwa yako
2026-10-09 03:27:12
5
🎀Kajar2 cute🧚winga🛍💸 :
nina babe mmoj saiv mibarak mingi tuu nina miez nae lkn saiv mungu amejalia ninaofis yangu tu nyumbn namshukur mungu moj yapo ya atua🥰🥰
2026-10-09 11:41:15
0
Wiih❤️✝️ :
Eeeyh naungana na wale yooh🙌🏻🙌🏻🙌🏻❤️
2026-10-08 20:41:21
8
COMRADE😎 :
daah hakik nimeamini
2026-10-08 22:05:07
6
Bella_Crystal🌸🖤🎀 :
Ulikuwepo😂😂
2026-10-09 11:20:07
1
UNIQUE _ZEE🌴🌸 :
Ila wanaume 😂🙌🏻💔
2026-10-09 08:59:18
0
juximontana :
ukiwa na mmja tukuchunguze😂😂
2026-10-09 07:27:04
0
Cute gee 🫂❤️ :
Watu wanahasira 😂
2026-10-09 09:35:15
0
Mudric_s9 :
Zee La Code Ajifunze Kwetu.
2026-10-08 22:54:51
2
🌸𝓝𝓸𝓾𝓻𝓪𝓽𝓱👑 :
Mwanaume mmoja baraka jifunzen kwangu😂
2026-10-09 06:50:56
3
TANZANIA EXPLORER📍🔥 :
Mwanamke mmoja ni baraka sasa nikiwa nao 10 si baraka zitaniua 😇 sasa saiv ngoja nianze kutafuta baraka moja moja mpk zifike kumi
2026-10-09 06:28:52
1
To see more videos from user @barbee_kayl, please go to the Tikwm
homepage.