@rashidbattashy: HUYU HAPA MWANAFUNZI ALIYEWAVUTIA WENGI USOMAJI WAKE WA QURAN ATUKUFU ✍🏻 @rashidbattashy Leo, wakati nikiadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, nimepata bahati ya kumtembelea mwanafunzi Aksam wa Skuli Jumuishi ya Jendele, Mkoa wa Kusini Unguja. Siku kadhaa zilizopita, Aksam alivuta hisia za watu wengi baada ya kuonekana akisoma Qur’an Tukufu kwa sauti nzuri na yenye kuvutia. Binafsi nimevutiwa sana na usomaji wake, hivyo nimeona ni vyema siku yangu hii kuitumia pia kumtembelea, kumuona na kutabaruku kwa kidogo kupitia kipaji na juhudi zake katika kusoma Qur’an. Nimefanya hivi kwa nia njema kabisa, kwa upendo na kumtia moyo Aksam katika safari yake, Si kwa ajili ya riya wala kutafuta sifa, bali ni kwa moyo wa kumpongeza na kumuunga mkono mtoto huyu mwenye kipaji. Allah azidi kumlinda, kumuongoza na kumjaalia Qur’an iwe nuru katika maisha yake. 🤲🏽❤️

Rashid battashy
Rashid battashy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 18:14:20 GMT
14795
3411
99
36

Music

Download

Comments

omar.ally817
Om@H RiD€R 🏍⚓️🇸🇴🇹🇿 :
Masha llah good voice
2026-10-08 20:04:15
4
rajivitambaa
raji_vitambaa :
kullu harfin haqqahuu wamustahaqqah mashallah [Pray]
2026-10-08 19:41:38
9
leluusaid
LELUU BEAUTY🦋 :
mashallah bora hata umepata maombi ya huyu mtoto asona dhambi mana wewe kazi yk umbea tu
2026-10-08 20:15:21
5
user5725094990983
Asmah :
Mashallah [Red heart]barakallah[Heartwarming]
2026-10-08 19:23:57
0
pharaula_01
pharaula_01 :
😭😭😭mashallah allah amuhifadhi dunian mpk akhera yarraby 🥰🥰amiin amiin
2026-10-08 20:07:55
6
straika27
user7072167908874 :
mashaallah good voice
2026-10-08 19:11:22
0
shamira.abdallah8
Shamira Abdallah :
mashallah wallah fah mwenyezimung amuinue
2026-10-08 19:39:18
3
aysha.hassan528
Aysha Hassan :
jazaka wahulkher Amiiiin
2026-10-08 19:53:30
3
aishamchibya
Aishamachiby :
mashallah
2026-10-08 20:05:13
1
khojammisri7
Khoja Mmisri :
Ma Sha Allah
2026-10-08 19:54:26
1
user30058106039371
user30058106039371 :
mashalllaw
2026-10-08 19:37:04
0
mamrash25
mamrash :
mashaaallah
2026-10-08 18:18:54
2
bwax813
tripleR :
MashaAllah
2026-10-08 18:49:21
1
kajumomojr
KAJU MOMO :
mashallah Allah akubalik
2026-10-08 21:39:43
0
mwajey.kibindo
mwajey kibindo :
mashallah mashallah mashallah ❤️😍 💖
2026-10-08 21:45:25
0
momah_ribbon_bloom
momah_ribbon_bloom :
Mashallah
2026-10-08 21:21:23
0
yussrah117
mamy yuuuu :
mashaallah
2026-10-08 21:48:15
0
soldier.queen02
Soldier queen :
mashallah
2026-10-08 21:23:20
0
sheis_salma._
Unique girl 🦋🦋🦋 :
Mashallah
2026-10-08 21:17:33
0
muft_menk2
muft_menk2 :
Man Sha Allah 🥰🥰
2026-10-08 21:13:09
0
ramh045
Ramh :
mashaallah
2026-10-08 21:10:08
0
ahmedomary7
moraykone__ :
mashallah
2026-10-08 21:10:03
0
aziza.feisal2
Aziza Feisal :
mungu anatosha
2026-10-08 21:09:10
0
ibrahim.abdul301
kadabra OG :
dua kubwa sana 🙏
2026-10-08 21:08:35
0
user8361600796326
user8361600796326 :
mashaallah mashaallah mashaallah
2026-10-08 21:19:14
0
To see more videos from user @rashidbattashy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About