kweli ss sote tunaumwa na miguu na matumbo kizazi hamna ukizaa basi kwa upereshen
2026-10-10 04:13:45
0
hamad :
da aise kweli
2026-10-09 10:57:58
0
Nsura suleiman :
Uko wetu wapande ya baba pia wa mama wote masikini wana wake wote waliachika na mm pia nikiwa mmoja wao pesa ukipata zinaisha bila kujua
2026-10-09 18:45:22
0
salma samson mwinda :
samahani shekhe inamaanisha kila ukooo unayo iyo mizimu au ni baadhi
2026-10-09 20:30:02
0
user1232024757505 :
mungu y aliruhusu iyo mizimu itawale NAFSI za binadamu jamani
2026-10-09 17:59:00
0
ashakomba397 :
ivi mizimu manaake nini?
2026-10-09 11:21:40
0
machali machali :
sasa mizimu ndioni ? na mizimu mizuli ndio ipi?
2026-10-09 13:27:46
0
Ba arapha :
mm napambana nayo sana kwenye swala za mtume na swala za kuamka usiku ..... naona inakuja na kuondoka ila ndugu zangu woote wamesha Acha njia aise kisa hii mizimu mibaya .....
2026-10-09 15:08:17
0
🥰687 28 13 28000🥰majani og😍 :
[Laugh approved]nachoka na hii mizimu mibaya[Laugh approved] kwanini inatufuatilia
2026-10-09 13:29:13
0
To see more videos from user @doctorsulle1, please go to the Tikwm
homepage.