@ayotv.update: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu na kuhamia katika mfumo wa kidijitali wa kuongeza salio, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuhamasisha uchumi usiotumia fedha taslimu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TCRA, zoezi la majaribio la kusitisha matumizi ya kadi hizo litaanza Januari 1, 2027, huku shughuli za uhamasishaji kwa umma zikiwa zimeanza Oktoba 1, 2026. Zoezi hilo litafanyika katika mikoa mitano, ambapo Dar es salaam litahusisha Wilaya zote, Dodoma litahusisha Jiji la Dodoma, Chamwino, Kondoa Mjini na Kongwa, huku Arusha likihusisha Jiji la Arusha, Wilaya ya Arusha, Meru na Karatu. Kwa upande wa Mwanza, zoezi litahusisha Nyamagana, Ilemela na Misungwi, wakati Mkoa wa Mbeya litafanyika katika Jiji la Mbeya, Wilaya ya Mbeya na Mbarali. TCRA imesema mpango huo unalenga kuongeza matumizi ya huduma za kifedha za kidijitali, kurahisisha ununuzi wa muda wa maongezi pamoja na kupunguza uzalishaji, usambazaji na utupaji wa kadi za kukwangua ambazo zina athari kwa mazingira. #millardayo #millardayoupdates #ayotv #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania
ayotv.update
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 18:26:44 GMT
Music
Download
Comments
Gavana :
bora ata maan zinatusumbua sana sis mawakala
2026-10-09 06:13:10
0
Zamana zamana :
Hata nchi za nje pia hatu kwangui vocha sio geni sana
2026-10-09 04:26:19
0
Groly Poul :
daaaa mbona
2026-10-09 05:34:28
0
Khaleed Operator :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoMi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-10-09 01:51:09
0
To see more videos from user @ayotv.update, please go to the Tikwm
homepage.