@turktz: Mwigizaji na mchekeshaji maarufu wa India, Nana Patekar, ameripotiwa kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 75. Nana Patekar alikumbukwa kupitia filamu mbalimbali zilizopendwa na mashabiki nchini India na duniani kote. Kifo chake kimeacha huzuni kubwa kwa mashabiki wa sanaa ya India. 🕊️ Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema. TABASAM TÜRK YAYIN 🇹🇷🇹🇿 Je, ulimfahamu Nana Patekar? Unamkumbuka kupitia filamu gani? 👇🏽 #NanaPatekar #India #rip #TABASAMTURKYAYIN #tanzaniantiktok🇹🇿
TÜRK 🇹🇷
Region: OM
Thursday 08 October 2026 18:30:36 GMT
Music
Download
Comments
Rahma💘🤲 :
Allah tujalie mwesho mwema[Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-08 22:07:25
3
mumy naylah 24 :
mimi nimemjulia hapa kwenye haka kakibwagizo ALLAH ampunguzia adhab ya kabur
2026-10-08 23:03:36
13
salmaa🧕 :
dh,innalillah wainna ilayh rajiunn
2026-10-09 05:16:09
2
zamdaasfsiw :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-10-09 05:16:57
5
mrs pascal🌸🔒 :
alf siku hiz anatrend kweny clip nd namjua saiv dahh
2026-10-08 20:20:41
3
fatma005 :
alhamdullilah kushukuru mungu 🙏
2026-10-09 05:20:39
2
user2944438167910 :
inallilkah wainalulillah rajiun
2026-10-09 04:39:52
3
bahar osman :
inaillah wa innalillah lajun
2026-10-09 00:17:20
2
Officiallyree@ :
innalillah wainnalillah rajiun
2026-10-09 04:30:12
1
Arafa Dunia :
r.i.p
2026-10-09 04:09:05
1
pretty mayna :
inna lilah wa inna ilaih rajuun
2026-10-08 23:23:53
1
wema kindamba :
inarilah wainnallirahrajuhn
2026-10-08 18:41:46
5
hawa mwaibula :
innalilai waina lilaih rajuun
2026-10-09 03:38:04
1
Lucky Mama :
Pole innallillah
2026-10-09 05:14:14
0
@B-og:BUBUBU¹'2 :
innalilah wainna ilayhi rajiun
2026-10-08 20:24:43
1
Aliah :
innalillah
2026-10-08 22:25:45
1
Mamy :
😭😭😭😭
2026-10-08 22:31:09
1
Sofia maryam :
innalilah lajiun
2026-10-09 03:54:28
0
Hanifa Ally :
duuuh
2026-10-09 04:54:02
0
zahra ally🌹 :
innallillah wainnallilah rajuun 😭😭😭🙏 mung amlaz mahal pema pepon 🙏🙏🙏
2026-10-09 03:19:06
1
halima :
Allah amsameh makosa yake yote aliy fany
2026-10-09 04:05:45
3
Juma Salehe :
in Lilah wain Lilah raiijun
2026-10-08 19:47:15
1
Mwana🩷🫂 :
Inna Lillah wainalillah laajiun 😭 Allah ampe kauli thabiti 🤲
2026-10-09 03:30:35
2
aisha hassan :
innalillah wainnaillah rajiun allah ampe kaulithabiti inshaallah
2026-10-08 21:46:15
3
Lubnar :
Allah akuhifadi 🤲
2026-10-08 19:58:06
1
To see more videos from user @turktz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.