Ukiona Tunaweka kwenye box jua inatakiwa kuweka 🤣🤣 Sio kila simu Inarudi Mkuu 🤣🤣🤣
2026-10-08 20:15:45
1
user2054744844217 :
2026-10-08 18:57:48
1
LEONARD THE AGENT BUS 🚍 :
s20ultra vip hipo
2026-10-09 07:47:01
0
J%seph Felician :
hapo ni simple. chungulia kwenye tundu la chaji au charging port. na kwenye tundu la sipika.. kama ni used lazima utaona kwenye spika Kuna vivumbi kwabali. na kwenye tundu la chaji utaona vivumbi na limetumika linajulikana. SIE wahuni hizo sehem. mbili zinakuonesha hata asafishe tundu vip Kuna uchafu unaobakia wakati wa kuchomoa chaji
2026-10-09 09:56:54
0
maraone_technology :
True kabisa
2026-10-09 05:29:06
0
RaPpeL Du JoUr :
duh asante baba now notawapiga sana 🤣🤣🤣
2026-10-08 19:14:52
0
Davis :
duh noma sana
2026-10-09 08:19:24
0
I M S :
kaka s21 ultra mpya unazo?
2026-10-09 05:13:44
0
fetty kilimba :
niliwai kununua simu ilikuwa sio mpya lakini alhmdullih imezima mwaka huu miak mitano nimetumia
2026-10-09 02:57:57
0
Tz Ryan :
Hakika ukikutana na vichogo umekwisha kabisa
2026-10-08 19:41:00
0
KATORO :
Soko la Dubai hili ni hatari
2026-10-09 09:40:56
0
Movies GEEKS :
@Movies GEEKS:USIACHE KUNI FOLLOW UJIONEE MWENYEWE
2026-10-08 20:28:28
0
MAZRUI :
dubai wanafunga simu sild kama ubuyu
2026-10-09 08:18:24
0
To see more videos from user @mosumo_phonetz, please go to the Tikwm
homepage.