@mozannah: Assalam alaykum guyyss... Haya nimeona nisiwacheleweshee video ya sauce 😂mahitaji yetu ni- -Maziwa nusu lita -Maji kikombe 1 na nusu (Utaweka kikombe 1 kwanza na nusu utaweka mbele) -Cocoa Vijiko 2 nimeweka kijiko 1 primo na kijiko 1 dark cocoa sio lazma kama hauna -Diary milk hyo pakt 1 na nusu -Corn flour kijiko 1 na nusu tbspn -Sukari vijiko 3 tbspn -Condensd milk nimetumia kama robo kopo hivi😁 -Vanilla -Prestige kijiko 1 tbspn Utaweka maziwa jikoni pamoja na maji kikombe 1 yakianza kupata moto weka condensd milk. Ukiona imechemka utachukua maji nusu kikombe na umix cocoa pamoja na corn flour uendelee na hatua nyingine kama hapo katika video. Utakoroga mpaka uone uzito umekuwa sawa utaacha ipoe 😍😍Bye guyyysss #viral #creatorsearchinsights #cooking

The homemade cook🧑🏼‍🍳
The homemade cook🧑🏼‍🍳
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 18:42:53 GMT
62940
2580
31
309

Music

Download

Comments

maya_collection_19
Maya_collection_19 :
Mashallah mm naomb kujua hio vanilla umennua wapi dear
2026-10-09 13:27:50
0
laylaabdallah33
laylaabdallah33 :
unaweza kuweka kwenye kashata?
2026-10-09 11:23:03
1
ra12604
rayah🦋🫶 :
weka weka😂💔
2026-10-08 19:22:48
2
mwanaishahaji92
Mwanaisha haji :
mashaallah🥰🥰🥰🥰🫂
2026-10-09 11:03:13
0
shae.elriyamyyy
Shae el-riyamyyy🥰 :
Recipe ya hio cake yake?
2026-10-09 17:57:40
0
mf_cakes
m&f cakes!! :
kipimo ya cakeee
2026-10-08 22:09:18
0
mona_de_cute
𝑴𝑶𝑵𝑨 🐇 :
2026-10-10 23:59:51
0
happiness.nestory
Happiness Nestory :
Mungu akubariki sanaa madam 🥰🥰
2026-10-09 02:26:06
0
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Nzuri saana
2026-10-08 18:55:37
0
awadh_elhadry
Awadh Elhadry ✨ :
2026-10-09 12:58:02
0
mammynai1
mammynai :
2026-10-11 14:06:06
1
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Mashaallah nimepishana nayo jamanii😋😋😋😍👌
2026-10-08 18:55:26
0
mrs_nadeem_
Mrs_Nadeem🦋😍 :
😳😳😳
2026-10-09 18:54:43
0
nusygirl21
💫Miss.N😍😍 :
🤤🤤🤤
2026-10-08 19:40:58
0
user7579509255138
user7579509255138 :
[Heartwarming]
2026-10-13 14:07:55
0
naifat877
naifat ♥️ :
😁😁😁
2026-10-21 17:33:59
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About