LICHA YA KUFANYA KAZI NA MSANII MMOJA,LAIZER ANAKUFICHA YULE JAMAA NI HATARI,NAHESHIM UWEZO WAKO ILA YULE MWAMBA NI HATARI,,WATAKAO NIELEWA MIMI,NI WALE WANAOKUFUATILIA WEWE NA LAIZER🔥🔥🔥
2026-10-08 22:09:24
3
Novo2727 :
Marcochalli ni hatari kweli😂
2026-10-08 20:48:28
8
DenriQ :
kwa Marco chali apo nakukubalia maana kesho ya Diamond na Run dunia ya alikiba zili hit kinoma..
2026-10-08 22:21:36
3
Isaack Tarimo :
hat zaa chaaaaa
2026-10-08 19:25:29
1
seckwiga :
mi nadhani tunahitaji impact ya kile unachofanya ionekane..na hapo sasa ndio tutakupa maua kama unajua sio kuanza kujisifu
2026-10-08 19:58:59
0
black@mc :
king parazo
2026-10-08 20:47:58
1
jemuo :
ila kwa marcochalli sikupingi🙌
2026-10-08 20:27:31
1
Mp producer :
Noma baba
2026-10-08 19:27:48
1
erren_ken :
marco chali 🔥🔥🔥🔥 mna cha kujivunia asee kuitambulisha sound ya bongo fleva sio kazi nyepes
2026-10-08 20:53:10
1
OdmanShuku :
Hivi mkubwa touch meseni ni kazazi gan kipya au cha zamani?
2026-10-08 19:24:41
0
Glory temba :
Uwakika kaka nakubal
2026-10-08 20:07:28
3
mkali paul :
Nikweli kabisa kaka ulipambana sana.
napenda sana lile biti la bongo bahati mbaya.
2026-10-08 19:26:03
5
hax :
(Joh makini/weusi) wa Nahreel na weusi wa s2kizz ni vi2 viwili kabisa heshima sana kwa Nahreel 🎵💯 ..
2026-10-08 21:06:41
1
@Fatibeka_Beka :
kwer kaka umezungumza ukweri kabisa
2026-10-08 19:49:01
1
xaccitrap :
nakubalii mkuu we n noma
2026-10-08 20:23:24
2
Rock :
beat zako kaka zimejaaa sana
2026-10-08 19:31:52
3
To see more videos from user @mrttouchez1, please go to the Tikwm
homepage.