@hajjathamida: DUA YA USIKU WA KUAMKIA IJUMAA Ya Allah, katika usiku huu wa kuamkia Ijumaa, tusamehe madhambi yetu, tusafishe nyoyo zetu, na utulinde na kila shari. Ya Allah, fungua milango ya riziki, rehema, afya, amani na baraka katika maisha yetu. Tujalie kheri katika kila tunachokisubiri, na utupe subira katika kila tunachokipitia. Ya Allah, wagonjwa wapatie shifaa, wenye huzuni wape faraja, wenye madeni walipie, na wenye haja wazijalie kwa kheri. Mola wetu, tusije kuamka kesho tukiwa tumebeba huzuni ileile. Badilisha hali zetu kwa rehema Zako na utujalie habari njema. اللهم صل وسلم وبارك على نبينا محمد ﷺ Aamiin Ya Rabbal ‘Aalamiin
UKHTY HAMIDA
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 19:05:13 GMT
Music
Download
Comments
Aiem❤️ Nurah😍🔥 :
Yaa Allah utasemehe zambi zetu na utujaliye mwisho mwema.
2026-10-08 20:38:31
25
sham :
hii dua naipenda sana mwenyewe nayo naombeni [Heartwarming]
2026-10-08 20:59:33
9
sherry mohamed :
yasilat shafii allah atufanyie wepes kwakila jambo atupe mwisho mwema yarrabi aamiin
2026-10-08 21:08:27
11
Cathy 🦋 :
aaaamn yarab
2026-10-09 00:27:03
0
mtoro subira :
Aaamin Yarrab
2026-10-08 21:22:01
5
naa 🦋🍭, :
allah allah allah allah alla innaadam nakastajib amiin allah ya allah ya allah amiin🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-08 21:57:55
2
MANCHESTER UNITED ⚽️ :
Allah Allah Allah
2026-10-08 22:11:36
2
Abdallah :
amin amin
2026-10-09 00:45:09
0
naphy :
Ameen yarraby 🤲🤲🤲
2026-10-08 19:45:13
0
Muneera Elmayahiy :
yaraaby unistiri na wanangu,na utufungulie milango ya kheri,na siha na afya
2026-10-08 22:00:37
2
Mamu mitimu :
Ya Allah tufanyie wepes wa kila jambo natusamehee makosa yetu yotee na utupe mwisho mwemaaa
2026-10-08 22:10:23
4
ilham hamis :
Amiin yarab
2026-10-08 20:42:27
2
marojr :
Aamin
2026-10-08 21:25:14
2
Mariam Maulid :
aminaamina
2026-10-08 21:46:16
1
Sally_Henna :
Allahumma Amiin🥰
2026-10-08 19:16:45
2
MWANAIDI :
Aamiin
2026-10-08 20:47:26
2
🥹🥹 :
Allah allah allah
2026-10-08 23:40:01
0
user8632006579037 :
amin amin
2026-10-08 21:06:02
2
galgalo :
Ameen Ameen
2026-10-08 19:22:32
2
A.M.I.N.A.D.O🎀💦🦚🌷🌺 :
Ameeen🙏🙏🙏🤲
2026-10-08 19:13:39
1
Hasheem Mfanga :
alahu ya alahu yaalahu
2026-10-08 20:03:22
1
@ankoo :
amiin
2026-10-09 00:47:09
0
am-Rukhy🦋 :
Amin
2026-10-09 00:32:43
0
Jike la 🦁 ❣️♋🇰🇪💝💞 :
Amiin
2026-10-09 00:31:01
0
Amish :
Allahu ya Allah
2026-10-09 00:39:30
0
To see more videos from user @hajjathamida, please go to the Tikwm
homepage.