@lamu.taxidriver: ETI MBONA MNATIA HURUMA BADO MAPEMA SANA #malalamiko #vijana #driver #madereva #bodaboda

LAMU TAXI DRIVER
LAMU TAXI DRIVER
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 19:09:11 GMT
6114
233
68
14

Music

Download

Comments

user3007427113305
machano :
hatuwezi kunusurika ikiwa ccm itaendelea kutawala 😭😭😭😭
2026-10-09 06:15:12
7
canadien1207
c'est moi 👀 :
exactly 💯 💯 💯 💯
2026-10-08 23:35:52
1
aslimsaleh
Aslim 🔑🔑 :
Munajita Team nani vile Alphad luxury
2026-10-09 03:07:59
1
kingvuai
King Vuai🇹🇿 :
sasa km mnataka chi iwe na maendeleo pesa zipatikane wapi fateni sheria za nchi uone km utasumbuliwa unafikir nchi zilizoendelea kuna upuuzi km huo vyombo watu hawapasishi leseni hamna
2026-10-09 06:05:23
1
user3787314093734
THE DONY :
yaani mpaka tuseme Jaje kwa pamoja
2026-10-09 21:22:08
1
officialkaguxa4
Kaguxa :
si walikuwa wanasema mitano tena mafuta ya 10k walipa pesa walizo pewa
2026-10-09 07:23:26
2
official.kitete
Swimming Pool Master :
Jitahidi kwenye harakati zako elemea huku huku Kwa wananchi ila usije ukamtaja kiongozi swaibu wanajakwita wooo ukatoe maelezo swaibu viongozi si watu wazuri wanachotaka wasifiwe tu...
2026-10-10 03:27:58
1
marcellino1608
Marcellino. :
Na waendelee kushushaa bei za excursion na transfer kutoka $ 50 mpka $ 25, wakati baadhi ya hoteli transfer 100$. Mgeni hoteli analala night 1 $ 500 lakini excursions anataka sharing ya $ 40. Na ukimuacha mwenzoko anampeleka 🫵🏿😆😆
2026-10-09 03:23:36
2
sulleysouthafrica
sulley Zanzibar backup :
lamu funguka😂😂😂 wakili nipo
2026-10-09 12:34:00
1
mweda
Yasser :
Kwaiyo umeamua kunianika mwanetu au sio😅😅
2026-10-09 06:40:59
1
alihamoudbadru
Ali Humoud :
Mpaka waseme😂
2026-10-09 07:46:21
1
hashilhashil82
hashilhashil82 :
sawa sawa
2026-10-09 09:21:25
1
user8582181492424
Abdillah Ali :
Mitano tena
2026-10-09 10:05:47
1
nasir.trip.of.zan
Nasir trip of zanzibar :
hhhhhhhhhhhhh na bado
2026-10-09 04:49:20
1
bayser_83.com
Bayser :
Uchumi wavumbi huu sas maan barabarani nikukimbizana tu wapo kila kona
2026-10-09 07:02:23
1
salumkikeke
salumkikeke :
😅 nchi imekuwa ngumu saiv uchumi wa blue wote umehamia barabarani 😂 mara barabara mpk tutazimaliza wenyew
2026-10-08 20:42:08
0
smartboyzenj
salum salum :
hakika tutaongea lugha moja mana mafuta ya bure hakuna tena by the way 2030 nahisi tutaongea lugha moja
2026-10-09 00:48:31
1
med250440
MED :
bado asaaa
2026-10-09 17:32:50
1
buthaynah40
Buthaynah :
Milizi mingi 😂😂
2026-10-09 05:53:28
1
yussufabeid4
yussufabeid4 :
bsss hkikkk
2026-10-08 19:44:18
1
user5596670980356
MUNDHIR MUNDHIR4321 :
mzze Bado hasaa hawaja sema mamae
2026-10-10 09:38:48
0
nailat.sharif
Nailat Sharif :
na mafuta yashapanda uko
2026-10-08 19:16:37
1
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
lipa kodi wew
2026-10-09 06:00:30
1
nailat.sharif
Nailat Sharif :
mzigo uwo apo
2026-10-08 20:24:37
1
user3012909023238
user3012909023238 :
walikua wanapewa flana za chama mm ilikua na wazoom t leo wanalia kila kona
2026-10-09 09:53:44
1
To see more videos from user @lamu.taxidriver, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About