@selemanmashaury46:

seleman mashaury
seleman mashaury
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 19:12:52 GMT
19674
492
68
40

Music

Download

Comments

sucmaster75
Suc master75 :
Makofiiiiii👏👏💯💯
2026-11-04 18:48:00
0
anithapol853
Anitha Pol :
very very nice❤️❤️❤️❤️
2026-11-04 22:11:31
0
halimahamza43
@khalima :
mma kipenzi mungu akulinde
2026-11-04 03:04:20
0
michaelfrenkline
Maro Michael F :
Sio waalimu tu. Mimi nimesoma uchumi wa maendeleo miaka 10 iliyopita Leo unanipa mtihani nakumbuka Nini?
2026-11-04 16:19:01
1
dullayo484
Abdalla_H_Nassor :
Weka ata akaunti yako tukuchangie asee. Huu ninzaidi ya ukweli.
2026-11-04 10:27:15
1
queen..p2
queen..p$2 :
hongera kwa hiloo kwa kwel
2026-11-04 11:50:17
1
user3841869611859
Michael Dawa :
asantee kwa kulionaa mama hilo kiukweli linaumizaa saana moyo mtu anasoma miaka yote hiyo arafu anakuja teena kupewa mtihani upi teena huyo inaama vyuo haviaminiki hongeraa mama uishi miaka 100 kwa kuliona hiloo
2026-10-09 06:15:54
7
healthwithfaylunah
Faylunah Mwanga :
Fact ….Na pia Kuna mederation hadi maafisa elimu,wakuu wa vyuo na timu ya wahadhiri wanakuasess unavyofundisha na kila mtu anatoa marks zake ukipata A ama B siyo ya bahati mbaya pannel nzima itoe jibu moja si mchezo…..
2026-11-04 06:12:02
1
anifanjeza
niffer :
kwa kweli.
2026-11-04 06:40:20
1
bakarisalimu870
BAKARI :
Bora ninyamaze tuuu maana Nina uzoefu wa kukaa mtaani mwaka wa kumi sasa 😬😬
2026-10-09 11:13:18
2
97johany
Rupia's daughter :
Asante .bas kama ajira ni chache waweke utaratibu wa kuajiri kwa awamu labda Kila mwaka wanatoa sio kuruka mtu wa nyuma aliyetangulia kumaliza ndo apewe
2026-10-09 18:05:56
2
monicagelangi
Monica Gelangi :
mama sijui unaitwaaa mama naniii nimekupendaaa bureee tumechoka kudalilishwaaa
2026-10-17 13:37:29
1
petromgesi
petromgesi :
Mungu akulinde mama angu kwa ukweli uliotukuka maana ni wachache wenye maono km yako
2026-10-21 11:47:58
1
millyjohn13
millyjohn 13 :
Asante MUNGU kwa kutuinulia mtu
2026-10-21 09:00:59
1
user6939110558832
user6939110558832 :
Asante sanaa Mama ubarikiwe sana na Mungu na uishi miaka ming isiyo hesabika, yenye kheri na mafanikio tele, maana umeongea jambo la msingi sanaaaaah
2026-10-10 08:44:02
2
user60577630848174
Grace :
Umeongea ukweli mama mungu akutunzeee
2026-10-10 08:31:36
3
user6870500044778
user6870500044778 :
wanatuchanganya sana mama
2026-10-09 07:21:13
2
bahatiilunde302
Bahati Ilunde :
mam mungu akulinde.
2026-10-12 10:38:36
1
wahhy03
w:🥰 :
ASANTE SANA MAMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA👍👍👍👍👍👍👍
2026-10-09 16:39:12
1
srthdwr323
Surati hardware :
duh very clear
2026-11-04 13:15:41
0
rich.oneself
Rich One :
duuuuuh hongera sana mama😭
2026-11-04 16:12:10
0
user7199703060626
beety :
asante mama Mungu akubariki sana
2026-11-04 20:12:54
0
giraff188
Giraffe🦒🦒 :
Uyu mama abarikiwe mpk awe rahidi bdae
2026-11-04 19:14:34
0
frolahnjile
frolahnjile :
umeongea kweli uhakika,wanaleta mitihani yao kama kigezo kutafuta rushwa tu na kumbania watu
2026-11-04 16:36:38
0
user35250939590991
[email protected] :
saw mweshimiwa
2026-10-08 19:33:04
0
To see more videos from user @selemanmashaury46, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About