Mwenyezimungu kama alichoongea huyu dada kinatoka moyoni basi mjaarie apate Mume bora inshallah inshallah
2026-10-09 04:26:19
475
shadrack :
TAQBIRIIIIIIIII🥰🥰🥰🥰
2026-10-09 02:28:22
64
Abuu Asma :
ALLAAH ampe mume atakayemuongoza in shaa ALLAAH. msichana mzuri na inaonekana ni rahisi kuongozeka
2026-10-08 21:32:57
275
Zedymohermz :
hakuna mahari ngumu duniani kama msahafu ,sema hii generation haijui maana yakupeana msahafu kama mahari
2026-10-09 13:48:20
26
queenoftheroad06🇨🇦🇹🇿 :
Allah atupe wanaume wenye kheri nasi
2026-10-09 00:16:26
116
Maryam athumani :
mashaala nakuombea upate mume bora
2026-10-08 21:29:28
57
Khadija Ramaa :
kaongea ukweli yaani kama mimi tu
2026-10-09 15:04:20
20
RJ :
Mashaallah ❤️❤️Mungu ampatie mwenyewe heri n yeye
2026-10-09 05:43:29
28
DINO :
mwenyezi Mungu mpatie itaji la moyo wake uyu dada
2026-10-09 09:00:59
45
K Blocks Chididimo :
Allah akujaalie Upate Mume Mwema Akuongoze fii dun'ya wal AKHERA.
2026-10-09 04:18:27
22
Moha+91 :
huyu anaweza akabdilika kabisa na akawa mwema Mashaa Allah
2026-10-09 05:17:29
47
Modymzurii🇰🇪🇧🇭 :
point kubwa kaoge [Perfect score]
Allah amjaalie stara Leo duniani na kesho Akhera
2026-10-09 02:27:19
16
Yota BoyTz :
inshallah mungu akuongezee Iman hyo
2026-10-09 03:39:56
21
mama okasha :
wasanii wengi wanaficha dini zao ila wewe umejitangaza kuwa muislam nakupenda kwa kujivunia uislam wetu allahu akupe mumemwema au njoo tuwe wakewenza mumewangu ni mwema karibu ktk ndoa yangu😁😁
2026-10-10 04:12:40
5
user5845402498001 :
ALLAH Azidi Kukuongoza
2026-10-08 22:25:13
10
Jamarlaw Hommes :
Allah akupe mume mwema akustiri
2026-10-09 04:33:53
7
NEW CHANCE🔥🔥 :
MashaAllah akibadilisha hayo mavazi tu tayari mwaka hauishi ndoa anayo InshaAllah
2026-10-09 08:59:54
5
singano :
mungu akujilie update mume wa heri amina
2026-10-09 02:22:14
20
Nzeyimana Saidi :
Allah akupe mume mwema na pia awe Tajiri Allahumma Amin
2026-10-09 03:42:23
7
Hashimu Mgelwa :
Allah akuongoze dada ishaallah
2026-10-09 00:39:27
9
Abdallah Kambangwa :
MashaAllah wanawake wa dizaini hii huwa wanabadilika na wanakuwa wanapenda dini sana
2026-10-09 04:14:29
5
Dr kalume Constantin :
man in challah Allah akuongoze kati heri mu dada
2026-10-08 22:02:36
7
Kichupi cheusi🥳 :
Maxhallah Allah akupe hitaji la moyo wko Amiiin🤲🤲🤲🤲
2026-10-09 04:56:15
5
black seed :
inshallah mwenyezi mungu akujalie
2026-10-08 22:15:33
5
To see more videos from user @daxen_tz, please go to the Tikwm
homepage.