@petermsechu: Ndugu zangu Wasabato hakika Mmetishaaaa🖐️🖐️🙏 nimepokea mialiko zaidi ya elfu moja mpaka sasa ila Makanisa haya matano nimeyataja kwenye clip hiyo Hakika Mmetishaaaaa sanaaaah👏👏👏👏 Kurasini SDA👏👏 Mwembechai/Magomeni SDA👏👏 Chuo kikuu UDSM SDA👏👏 Kibamba SDA👏👏 CentralSDA👏👏 Hawa wametishaaaaa sana kwenye wingi wa mwaliko haya sasa nikasali wapi kati ya hapa...????🙏🙏🙏🙏 "ANGALIZO JAMANI NYWELE ZANGU MSIJE MKANIRUDISHA MLANGONI😌😌" #ThisSaturdayIsMySabbath
Peter Msechu
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 19:32:01 GMT
Music
Download
Comments
vee💕 :
Uje Dodom kanisa la ipagala sda
2026-10-09 03:15:21
17
Evarist Gamba326 :
njoo kaka sda External chakula kipo
2026-10-08 21:06:11
26
Lee :
Dar Central SDA church
2026-10-08 20:47:01
2
bihebwasaiko :
Mwenge sda church
2026-10-09 04:52:13
1
👸♾️ :
One voice 27 🫂❤️may almighty God be glorified
2026-10-09 04:44:49
4
Grisper Daniel :
sisi hatuna baya sali popote sisi hatuna baya... ilimradi sabato tu🥰🥰🥰
2026-10-09 05:27:40
14
beliza collection :
karibu sanaa kinyerezi utabarikiwa 🙏
2026-10-09 06:21:03
11
Meshack1995 :
mimi ni shemasi mkuu wewe njoo na rasta zako hazina neno tutaendelea kujifunza pamoja
2026-10-09 01:08:35
45
queenry patiner♥️ :
Uje na kinyerez SDA Jamn
2026-10-09 13:20:37
5
Ney💞 :
Once voice
mission for all😊
2026-10-09 20:49:01
1
samalove709 :
Endelea sasa kufikiria twenzetu KARIAKOO😒 ngoja niendelee nilipoishia😅😅
2026-10-08 19:54:23
19
nagina :
hakuna mtu wa kukuzuia kuhusu nywele zako zaid ya mungu
2026-10-09 09:52:19
8
Rachel John :
karibu Igomelo SDA KAHAMA
2026-10-09 05:13:00
6
lucky_charm1l :
Finally ☺️🤗
2026-10-09 05:02:29
1
Esther_Cosmetics Dom💄 :
Nywele usijaliiiiii usiogope njoo ulivyooo mtumishi[Heartwarming]
2026-10-09 05:00:30
12
Neemarodrick :
Uje mwenge SDA 😅
2026-10-08 21:17:08
12
Aysha wigs. :
Udsm plzz
2026-10-08 20:02:57
2
MADAM LEE🦋🥰 :
njoo kama urivoo kaka
2026-10-09 05:26:43
5
Goba Sda Youth Choir :
GOBA SDA CHURCH JIRANI KABISA
2026-10-08 22:43:43
5
Didas jr :
hata usinyoe kaka mkubwa we panda hivyo hivyo tena ongezea na miwani hapo utatoka mbaya mbovu asee kwa utukufu wa Bwana
2026-10-09 04:10:08
6
qute rene :
karibu kurasini the home of music
2026-10-08 20:48:07
5
Afya na Maisha :
Njoo na nywele zako hamna shida kabisa MAGOMENI SDA MWEMBE CHAI
2026-10-09 02:02:46
5
ellymassitz🇹🇿 :
POPOTE UTAPO ENDA KAKA NI SAWA TU MUHIMU UMEFIKA KANISA LA KISABATO NA MUNGU AKUBARIKI TUNAKUOMBEA UTAPO JIANDAA KUFIKA KANISANI HAPO UTAKAPO FIKA.
2026-10-08 21:23:18
11
eLive_Card :
Dar es Salaam Central SDA, Posta
2026-10-08 21:28:46
7
CB@ 💖 💕 :
karibu Magomen mwembe chai..njoo na nywele zako..Bwana atakubadilisha kwa wakat wake
2026-10-09 09:23:49
5
To see more videos from user @petermsechu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.