hamumpati ng'ooo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-09 07:15:49
1
kijana wa taifa :
Ngoja nifuatilie wachezaji wangu wa Simba isikute wame ibiwa kwa sababu yanga wana mambo sana
2026-10-09 07:11:35
7
wangi jungi 2 :
yanga washaanza kutuchanganya tunachoka wana simba
2026-10-09 09:24:57
3
Aisha Abubakary :
hawana jeuri ya kumchukua libasse
2026-10-09 13:04:33
2
Meja chandur Tz :
namashak inawezekan wamesh pita mala ya mwisho kuonekan na jez ya simba ni lin😳😳😳😳
2026-10-09 07:22:47
2
trice :
hatamkimchukua sihami simba hata roboo
2026-10-09 15:00:06
2
GEE tonny👄 :
Ila yanga bana
2026-10-09 09:29:08
1
user4263537052970 :
mkataba wake mwisho mwezi wa kumi na mbili
2026-10-09 05:46:30
0
rakeem keem :
daaaaa simba BHN sasa walinde migongo na wachezaji wao maana sasaivi tunapita naoooooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-09 10:36:00
1
Derick .p. myomba :
eeee
2026-10-09 07:14:37
0
Linda ❤️ :
kumekuchaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 11:53:15
0
Phinnay Mary :
😂😂😂😂😂yanga yangu jamn 😂😂😂😂💚💚💚💚💚💚🤗🥵
2026-10-09 12:07:48
0
qeen n :
mmh libes moto🙏🥺
2026-10-09 16:52:54
0
Dorice Swai :
pesa zipo bank🤣🤣🤣🤣🤣 macho kwenye sikreen🤣🤣🤣🤣🤣 mi nipo apa kama mtu anaeza kula cha usiku kambin alafu asubuh anaamkia yanga mmmh sisi so wakuchezewa hat siku moja💚💚💚💚💚💚💛💚💛💛💛💛💛💛
2026-10-09 17:16:34
0
Husna Shabani :
sawa yupo kwenu
2026-10-09 15:50:21
0
Emmy❤️ :
Team yang pekee inayonipa raha😂😂😂💚💚
2026-10-09 17:35:21
0
official zari mideko :
hahahahahah
2026-10-09 09:19:44
0
EVANC :
2026-10-09 10:27:31
0
Neema Emanwel :
ila yanga mnasifa ko mlivo ambiwa mseme chochota baada ya kukaa kimya muda murefu ndo mmeona mtuvuruge sasa