@duaratv: Mwana falsafa @joramnkumbi akiweka sawa baadhi ya mitazamo ya vijana wengi nchini ambao wenye fikra ya kwamba elimu si kitu chochote. Credit|@talkwithpaul_ #duaratvnewsupdate #madini
SISI HATUSOMI SAYANSI ILA TUNASOMA HISTORIYA YA SAYANSI
2026-10-09 07:04:29
50
AsStanleyPro :
Sawa wasomi wapo ila Wasomi wa Tanzania wametusaidia nini katika Taifa letu?
2026-10-09 07:51:25
22
RAMADHANI R :
hatuongelei elimu vibaya... ila hivyo vitu kwenye mifumo yetu ya elimu... HAVIPO... HAVIPO HAVIPO NARUDIA TENA HAVIPO... NA HAVIHUSIANI NA TUNAVYOSOMA SHULENI...
2026-10-09 04:47:39
18
Dzalekastudio :
Sasa kama karne ya kumi na tano wenzetu walijengo vile ninyi wasomi mnasubiri nini hapa Tanzania na hivi tuko karne ya 21 ??
2026-10-09 04:21:32
6
valency224 :
kunawatu hapa wanasema sis hatusomi sayans wanayosoma wao, guys calculus ya TZ ndo hiohio ya Ulaya, newton laws of motion ndio zilezile za ulaya, tatizo ni Uongoz mbovu wala sio elimu
2026-10-09 07:19:34
9
fik :
je hiyo elimu wanayosoma wao ndyo tunasoma sisi
2026-10-09 03:30:37
10
nasibu Said :
acha porojo bhana kuna fumbo kubwa sana kwenye elimu yetu haijafungamana na uhalisia ndo maana sisi tunapotea wenzetu wanasonga,
jiulize tu mtu wa kwanza kupata digrii alifundishwa na nani,
sisi tumepotoshwa na haya yanayotokea sasa huku kwetu ni mipango yao wazungu,
hata mwamba hapo anajitahidi hadi kuongea lafudhi ya kizungu kuiongelea elimu kisiasa tu badala ya kuteletea hayo mapinduzi kupitia utafiti na uzoefu wake ameamua kuwasifia wazungu na kutuita sisi waswahili sijui yeye ni nani,
sisi waafrika lazima tuwe na vitu vyetu wenyewe hata china,Iran,India nk waliamua kufuata mifumo yao ndio wakafanikiwa hawakutumia mtaala wa mzungu.
2026-10-09 05:07:33
5
TIMELESS IDENTITY🇹🇿 :
watanzania mnahisi elimu ni kwa ajili ya kutafuta pesa tuu ? jamani embu basi toeni elimu ya darasani ambayo nyie mnaioma kuwa haina umuhim kwa maisha ya sasa . binadamu yyte anatakiwa kujua vitu ili asiwe mjinga ili asikwame , sasa wengi wanalalmika afu wanatgmea serrikali ikiwa serikali inatwategemea nyie wananchi kupata hizo fedha. koh mpo katikat mkilalamika kumbe nyie wananchi ndio mnaendesha nchi na bado mtu analalamika kuwa serikali sijui nn yaan mtanzani mpe kila kitu atakiona kibaya ila mpe sehem ya pesa yeye ndo anaona sawa.
2026-10-09 08:04:24
4
agizasokonitz :
unajua bwana Simba na Yanga seems to be more important au diamond katoa nyimbo gani🤔🤔🤔
2026-10-09 07:53:28
1
Height :
Africa nation should look space for this man... lugha iliokomaa
2026-10-10 23:47:43
1
discipline truck :
vipi kuhusu raw materials??
2026-10-09 09:52:10
1
Zingo🎤 :
fact
2026-10-09 20:45:20
2
Geofrey :
joram hao influencers ni darasa la pili,usiumize kichwa kwa watu wenye upeo mdogo
2026-10-10 16:24:38
1
Gadios Mangana :
upo sawa ila swali ni inatusaidia nini waafrica,je tunafundishwa kuandisi au kusaidia waandisi
2026-10-10 14:32:15
1
@gpux26 :
mbon kama kafanana na waziri mkuu
2026-10-10 22:00:56
1
weda ndunda @WDZAINI17 :
sawa tutaelewa talatibu tutajua
2026-10-09 07:25:21
2
Nassoro Mkwanje :
ACHA WEWE TATIZO NI KWAMBA SISI TUNASOMA HISTORIA TU YA SAYANSI SIO SAYANSI HALISI NDIO MAANA HAILETI MATOKEO
2026-10-09 11:44:32
5
TYCOON 🔥 MANAGER 🌍 :
GREATEST 🔥🔥🔥
2026-10-09 14:15:39
1
Africa Nature :
Well said bro 💪💪💪
2026-10-09 14:40:30
1
aber :
safi kabisa kijana
2026-10-09 19:06:44
1
Yordan Yona :
fact
2026-10-10 05:06:39
1
captain smith :
nimekuelewa sana
2026-10-10 05:48:20
1
✍️Ntahondi :
Sahihi kabisa anachozungumza Mkumbi, lakini wasomi wetu elimu waliyoipata haina faida, kwani uongo, nionyeshe aliyetenda kitu kitokanacho na hiyp elimu!
2026-10-09 17:26:16
2
Milioneamentor_ndobandola :
Tanzania yote hayo ni theory,
2026-10-09 03:51:38
3
To see more videos from user @duaratv, please go to the Tikwm
homepage.