@itssevenkona: mwaka 2008 mwanamuziki fady daddy aliachia huu wimbo wake uliofanya vizuri sana sokoni, huu wimbo ambao ulipokelewa kwa ukubwa sana kwa sababu pia umebeba ujumbe mkubwa humo NDANI, wimbo unaitwa NIMEUPATA VIPI? ulitayarishwa na producer mahiri wa kuitwa STEVE WHITE 🔥
SEVENKONA
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 20:34:32 GMT
Music
Download
Comments
💫💥ROJAS💥💥 :
tuliokua darasa la 5 tujuane apa
2026-10-09 06:11:59
13
KING 👑 :
The Best song all time
2026-10-09 12:38:51
0
zaitun :
well, I was 8...
2026-10-09 07:02:03
0
mussa jump kakidi :
haswaaaa
2026-10-09 11:17:40
0
Muga555 :
1.ferooz ft prof j-starehe
2.prof j-msinitenge
3.fad dady-nimeupata vip?
4.kigwema ft marlow-sitomsahau
hiz ngoma zinazohusu maambukiz hazijawah kuchuja
2026-10-09 03:02:37
4
Orezi Wizzy :
more than a poetry
2026-10-08 22:09:03
0
athumanmkuu276 :
dah tupo wangu darasalatano shule yansingi shaban robati
2026-10-09 10:48:10
3
iddihasan nango :
jebby swaiba
2026-10-09 07:58:00
2
WAMITY :
wenye mlikuwa class 8 hii ngoma ikitolewa weka like...
2026-10-09 12:52:31
2
hidayasuleiman531 :
dah....umenikumbusha mbali...🤔🤔
2026-10-08 22:48:23
4
Donchars :
Live your life amani ya moyo kwanza🙂↕️🙌🏽
2026-10-09 10:53:11
1
𝑀𝑎𝑡ℎ𝑖𝑎𝑠 026 :
Nimekumbuka mbali sana jamani
2026-10-09 09:45:34
1
Iddamir tz🇹🇿 :
kwenye cm yangu unaukosaje
2026-10-08 22:07:11
1
Joseph Combanism :
Kuna nyimbo inaitwa muuza Mrembo,Sio poaa hyo nyimbo
2026-10-09 08:28:10
1
AdamJr* :
Kipindi hiki Ngoma zilikuw na jumbe zinazoishi milele🥺
2026-10-09 08:26:57
1
Ally k :
nilikua namiak kama so 7😅au 6😂
2026-10-09 13:02:15
0
🅗🅐🅝🅢🅨 𝕋𝕫🇹🇿 :
hiyo ndo zaman tunachek muzik bila remote 😂😂😂
ila sasahivi bila remote 👇
2026-10-09 13:09:37
0
Pisces :
kuna ile ya daddy ft mzee majuto
2026-10-09 12:18:09
0
crystalrhymesoffi :
fadd ndo uy aliekuw kwny hii video
2026-10-09 16:45:38
0
Joh929 :
where is this guy? unanikumbusha mbali sana ju hadi kuna msela wangu hadi leo namuita faddy ju ya huu wimbo yy hakua mtu wa madem ila sio muathirika
2026-10-09 16:46:53
0
Ma voice🥰❤️ :
Hiii dah nilikuwa naipnda
2026-10-09 10:26:01
0
davido@254 :
this song😂😂😂 acha tu Hadi nilienda kupima na sijawahi fanya ngono😂
2026-10-09 10:09:49
0
Marry Mchaga :
bonge la nyimb
2026-10-09 09:27:38
0
Supery :
dah kitambo sana[Innocent][Innocent]
2026-10-09 07:56:57
0
Nestory Tungalaza :
ni noma hii ngoma
2026-10-08 21:31:16
0
To see more videos from user @itssevenkona, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.