@mex.prince: ๐ฐ KUNA KAZI ZINAZOWEZA KUKUFANYA TAJIRIโฆ LAKINI WATU WENGI HAWATAKI HATA KUZISIKIA! ๐ณ Kazi hizi zina malipo makubwa kwa sababu si kila mtu anaweza kuvumilia mazingira yake. Hatari, uchafu, kina kirefu na mazingira magumu lakini kwa baadhi ya watu, hapo ndipo pesa ilipo. ๐ต๐ฅ Swali ni hili: ungekubali kufanya kazi ambayo watu wengi wanaikataa, kama malipo yake yangekuwa makubwa? ๐ #HighPayingJobs #DangerousJobs #moneytalks #mexprince #fyp
๐๐๐ฑ ๐ฉ๐ซ๐ข๐ง๐๐
Region: TZ
Thursday 08 October 2026 21:51:09 GMT
Music
Download
Comments
RAMA J GURU Ice break :
bro mi nipee connection sai nicam
2026-10-10 19:34:47
1
ciss boy ๐ :
kazi ya kwanza nafanya nipe tu connection
2026-10-09 04:19:41
4
Sumaiyyah๐๐ :
ndy ntaifanya
2026-10-08 22:05:19
8
Anton Mawazo :
duh vp connection
2026-10-08 21:59:44
14
Isack :
ile ya kwanza tafanya mwezi mmoja mtaji tu najikataa
2026-10-08 22:21:41
26
Mantis :
inanza lin
2026-10-09 04:37:12
2
Kizzy Jayson :
Kazi ni kazi bro, na kila kazi ina hasara zake..
Lete kazi watu tupige..
2026-10-10 11:25:51
3
Ibrahim๐ :
Ile ya kwanza
2026-10-08 22:04:53
15
trander.2.6 :
๐mi nimeacha ndala siwezi ata Moja mamae
2026-10-08 23:48:04
7
nuhujustine229 :
Tunaoangalia leo gonga like hapa mdau kama unamkubar mex prince
2026-10-08 22:00:59
19
Saddam stoper119 :
ya kwanza Ile ya mafuta ntajitaidi kidogo
2026-10-09 13:09:33
1
flora45 :
ww tuma link ya izo kazi
2026-10-09 17:24:33
2
jax kaxh! :
jamani mwaka mmoja kukaa kweny maji naweza napataje hiyo ya kwanza๐
2026-10-09 00:18:11
2
~ prof. mic604 finest :
~ kazi ni kazi nipe connection 2
2026-10-09 05:31:35
2
Pale :
Nipe connection Niko Tayar kufanya hiyo kaz
2026-10-09 10:43:53
1
yasri :
sifanyi ata moja
2026-10-09 07:13:04
1
salma Africa ๐น๐ฟ :
TZ untafanya ukianza kumiliki magari una ambiwa mchawi wakati kazi zaela zipo tu kumbe
2026-10-09 08:27:37
1
Idrissa Majidi :
Naomba unitumie kali kama hizi
2026-10-09 07:18:31
1
@am sam khan :
kama kazi ipo lete apa nifanye
2026-10-09 00:24:55
8
๐ ๐ฅ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ :
๐ด๐จ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐๐ ๐๐
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
2026-10-09 01:37:54
3
last Born :
mkuu nafasi zake zinatoka lini
2026-10-09 16:23:22
1
jackson mwinga :
kina ho nichanganya ni hizo mamilion
2026-10-08 22:08:26
2
Jordan G :
basiiiiiiii Kuna nn tenaaaaa, me freshii tu vyote nafanyaaa
2026-10-08 22:30:44
0
Latifa bucumiโค๏ธ :
nipo tayar kufany iyo kaz๐ซ๐ซ
2026-10-09 00:46:04
1
user2612288419133tiktok.com/@u :
mm nipo tayar kaka niunganishe
2026-10-08 22:50:23
1
To see more videos from user @mex.prince, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.