Mzee usipotoshe mpaka muda huu huko hospitali walionusurika ni 22 na wanaendelea vizuri waliobaki ni waliokaa siti za mbele walibanwa na mbao zilizoingia ndani baada ya kugongana nikushauri unapotoa taarifa usitoe katika hali ya kushabikia au kutamani kuwa wa kwanza kupost au unaongea kama vinakufurahisha hujui tuna ndugu zetu humo waliokufa na wengine wako hospital wamerukia dirishani
2026-10-09 07:18:10
58
Gmichoro :
mkambalani barabara nyembamba ile
2026-10-09 03:33:56
8
roseedger :
Mmh moyo wa kurekod mnatoa wapi jamn na unaongea hvyo😳,