asante mola wangu kwakunipa upendeleo wa uhai sku Yaleo amina
2026-10-09 03:00:25
13
𝓡𝓮𝓬𝓱𝓸 𝓮𝔂𝓮𝓼💕😋 :
hamn kitu kinacho shindikana coz leo nickuyanguu😍 happy birthday to me na.asante mungu kwa kuniongiz mpaka sas🙏🙏
2026-10-09 05:01:08
4
user1696137216639 :
amina napkea kwa jina la yesu
2026-10-09 04:46:25
3
💦 BONIPHACE_ SON💥 :
daah broh hakika post zako znanipaga nguvu na matumain mapya unanifanya nizidi kupamabana bila kuchoka MY GOD BLESS YOU 🙏 mola azidi kukuweka broh.
2026-10-09 06:32:24
1
amaniinnocent545 :
asante mungu namm nikumbuke amina[Pray][Pray]
2026-10-09 04:27:43
1
no God no life :
Amina Amina Amina Amina Amina Amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 03:07:06
3
user5306238626016 :
asante mungu wangu kwasiku yaleo nimeamka salama nakuvuta pumzi kawabaliki nawalio lala mahospitalin mahodini nawlio mahututi huko asiyu..kawape nguvu nakatumemalaika wako ....pia watoto yatima nao kawe mlinzi wao kwasiku yaleo ilinjema machoni petu nakushukulu mungu wangu...kawabaliki nawazee wote duniani mana wao ndio mwanga wetu wamafunzo yetu kama watoto wao popote mlipo wazee wetu mungu awape maisha malefu nayenye heli dunia ...amina 9/10/2026[Pray][Pray]
2026-10-09 04:15:24
2
Einstein :
asante sana ubalikiwe
2026-10-09 03:22:10
1
POLO G-TZ :
amen 🙏 asante mungu naomba unifungulie riziki zangu siku ya leo
2026-10-09 03:42:42
2
jojmos :
Mungu nisaidie katika kila jambo lang na mepang yang
2026-10-09 03:44:53
2
Abby :
namshukuru mungu Kwa kuionaa.tarehe.9,10,2026
2026-10-09 03:33:53
2
mamy nady :
asante mungu kwa uhai
2026-10-09 02:36:02
1
rachel💜🦋 :
emungu asante kwaniasha salama mm na familia yangu
2026-10-09 03:51:55
0
Alisi Luvinga :
amina
2026-10-09 07:54:01
1
Isaya Shija :
Mungu nijalie afya njema yaongoze maisha yangu na kunisimamia katika mazuri baba
2026-10-09 03:37:37
1
Oscar oscar :
na mm nifundishe jaman
2026-10-09 03:07:14
1
Sarah serenah :
Amen
2026-10-09 10:44:56
1
neema xubi :
baraka apate Hela alipe Kodi apate wateja neema apone
2026-10-09 12:42:14
1
Al999 :
nashukuru mungu kwa kuionaa tare 9 10 2026
2026-10-09 19:34:13
0
To see more videos from user @intelligent.man09, please go to the Tikwm
homepage.