@popularmedia_: RAIS WILLIAM RUTO WA NCHINI KENYA AIKOSOA IDARA YA HALI YA HEWA KWA UDHAMINI WA MVUA ZA ELNINO BAADA YA IDARA HIYO KUSEMA MVUA ZA ELNINO ZILITEGEMEWA KUNYESHA MWEZI WA NANE MPAKA SASA NI MWEZI WA KUMI NA BADO MVUA HIZO HAZIJANYESHA. LAKINI PIA ANAWAHISI WANANCHI WAKE JUU YA KUENDELEA NA KILIMO
kwamba tunataka kuchezewa mchezo kwa hiyo zile hela zitapigwa siyo
2026-10-09 09:52:16
2
✨✨millito💫 :
mueshimiwa elnino yakwetu Tanzania na nyinyi tafuteni yenu
2026-10-09 10:20:28
2
Mr Fabian :
me navo ona elinino hakuna
2026-10-09 12:01:01
1
grant golden kasiba :
Wana vyombo vya uongo
2026-10-09 11:20:44
1
Chief Kipingu04 :
TUKO WENGII MKUU TUKO WENGIIIIII
2026-10-09 10:01:48
1
""The Matthew Jr"" :
Na fedha zimepigwa 😢😢
2026-10-09 06:20:55
2
saimon :
huku kwetu na bei ya mafuta imepanda kisa iyo mvua et hahahaaaa
2026-10-09 10:08:30
1
kitega5 :
unaakili sana
2026-10-09 07:00:22
1
KIJANA WA PORINI :
rais wanguu pendwaa from tanzaniaa
2026-10-09 14:05:05
0
wensEE²⁸ :
na hela zimeliwa
2026-10-09 13:24:45
0
Hellen🦋 :
Kwani ihi enino niyakenya au tanzani
2026-10-09 13:05:30
0
Joseph Kyaro :
tusife moyo jamn tusubri ila sidhani kama Kenya itafka maana nyinyi ni wabinafsi sana
2026-10-09 12:31:32
0
Alreza :
Mh Ruto El Nino ni ya kwetu Tanzania nyinyi subirini ya kwenu
2026-10-09 12:29:14
0
Pauli Chazzy :
mwenyewe nimeisubilia kwa hamu sana maana adi babu ananiuliza kuwa inakuja lini
2026-10-09 09:40:27
0
user5557735305480 :
amesema kweli hata huku tz walisema inaanza mwezi wa 8 mwisho lakn had sasa hakuna ktu
2026-10-09 12:27:25
0
Shija :
Ruto n rais mzuri sema hawamzingatii
2026-10-09 08:37:27
0
KING 👑 :
TUNATAKA EL NINO YETU MLIOTUAHIDI HATUTAKI MAELEZO
2026-10-09 10:37:33
0
Njowelo :
huyu ni rais haswa,namkumbuka magufuri alipinga chanjo ya covid 19
2026-10-09 09:06:01
0
Ahmed :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 09:46:13
0
nebuye :
Karibu sana Nebuye TV 🌱
Hapa tunashirikiana kukuza kilimo na ufugaji wa kisasa kwa vitendo!
Tazama video zetu kwenye YouTube 👉 https://www.youtube.com/@NebuyeTV
2026-10-09 13:20:22
1
To see more videos from user @popularmedia_, please go to the Tikwm
homepage.