@khalidkdofficial: KADAMA EP 3 . Mwanamke aliyetoka kwenye familia maskini na kwenda kutafuta maisha huko nchi za arabuni anazidi kuona hali halisi ya kwamba hakuna pesa inayopatikana ki rahisi . #tanzaniatiktok #kenyantiktok #congo #zanzibar #simulizizakubuni
Khalid KD
Region: TZ
Friday 09 October 2026 03:09:22 GMT
Music
Download
Comments
NYANTUI :
tunao ambiwa tuna nuka na maboss tujuane apa 😭
2026-10-09 08:07:32
86
Miss Ney dully 💍🔐🇹🇿🇴🇲✈️ :
mamb ya omani haya 😂😂
2026-10-09 04:29:18
152
BabyRah!!@ :
next please
2026-10-13 15:04:59
1
Take care 😘 💗 :
wako hivyo hawa watu Wana dharau kama huna moyo huwez vumilia
2026-10-09 05:55:19
50
sbusi maripez :
mwoge jamani gulf kuna joto kali siyo kama kenya
2026-10-11 12:24:31
5
Brave🎀heart 🇴🇲♥️🇹🇿 :
😂😂😂 mm niliona oman chungu nilikuwa na miez 3 alhamdulilah sasaivi nina mwaka nishawazoea
2026-10-09 05:04:20
22
She's HER💞🇰🇪 :
Nakwambia ili balaa ndio napitia.. Anyway 3 months to go
2026-10-09 06:16:13
12
RENE STORE🩷 🛍️🥳 :
Nasubir mwendelezo
2026-10-09 03:20:57
7
umm :
mimi niko na nne kila sku naambiwa nanuka
2026-10-09 12:43:10
3
mshangaz wakatoro :
nimetoka kuambiwa nanuka jmn😅😅😅😅
2026-10-09 06:32:29
6
fadhima daidi :
Pole sie tushazoea
2026-10-09 06:25:11
5
nameless🇧🇳🇹🇿🇰🇷 :
Nilipokuwa Oman hayo yamenikuta nikavumilia mpaka nimemaliza na sitowah kamwe kurudi Nchi yyte ya kiarabu
2026-10-10 11:50:11
1
Mishi.twaha4 :
ndyo maisha yetu hayaa Mungu atatusimamia
2026-10-09 06:57:59
6
halima chatra 🇹🇿 :
subhanallah 😭 😭😭 pesa inapatikana kwashida san
2026-10-09 08:59:24
3
Isabella :
mm naambiwa kila siku
2026-10-11 17:20:53
2
Nusra seif :
yanatukuta mengi uku subra tu
2026-10-09 06:55:06
6
dijjaa88 :
mm nishazoea hayo😂😂😂😂😂
2026-10-12 10:07:03
2
RMA 💖💞 :
I go by the name Lebanon 🇱🇧 😂😂😂😂
2026-10-09 14:01:35
1
Smart Lady :
jisavishe dada vizuri
2026-10-09 07:29:15
2
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
ilaaa😅😅😅😅😅😅😅😅
2026-10-09 06:04:26
2
Zeyda Zeyda :
kwakweli
2026-10-09 06:34:23
2
🌹🌹Faah AUTO SPARE PARTS🌹🌹 :
kwann faraja lkn😂😂😂
2026-10-09 08:43:02
2
❤🦋Mrs Davy❤️🦋 :
😂😂😂mmbo ya saudiii hapa
2026-10-09 11:29:55
2
mimah mohaa :
next
2026-10-09 07:13:32
2
mom twins :
ilo neno ni la kawaida kuambiwa unanuka, kwa cc teamstrong ni la kawaida sana
2026-10-09 10:10:03
3
To see more videos from user @khalidkdofficial, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.