nishatambulishwa sana uyu mtoto wa marehem mama fulan maskin alikaacha kadogo [Crying][Crying][Crying] rest easy my momy
2026-10-09 12:51:56
3
Samford Jr. 🇹🇿 ☑️ :
11.08.2026 😥💔
Rest In Peace Daddy 🥺
2026-10-10 18:32:00
1
Barbie🦋 :
June 2016😭😭😭💔
2026-10-11 08:50:31
0
Lides💞💘💫 :
missing my dady😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-10 18:48:52
1
martha godson :
babayangu[Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-09 12:28:32
1
nayra :
Hii ndio sababu inanifanya nisiwe nataman kuludi nyumba 😭😭😭😭 rest in peace my mom ❤️🥹
2026-10-09 12:21:42
14
doris🥰💞 :
dah, inaniuma sanaa😭
pumzika kwa Amani mama Angu kipenz,
2026-10-09 11:12:22
8
shany :
ata nishazoea 😭
2026-10-10 13:50:05
1
Sasha🇹🇿🇰🇪 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭mwezi wanane walinitambulisha ivo
2026-10-09 20:56:58
1
maricoficial1 :
Ndo Maan huwa sipendi kwenda kweny vikao vya familia upande wa baba yangu wanakutambulisha uyu mtoto wa Marehem fulani oonh GOD umpe pumziko la milele baba yangu 😭😭😭
2026-10-10 22:11:42
1
momy :
inaumiza sn
2026-10-10 14:11:58
1
Samiramoshi :
nachukiaga yaan bas tu 😭
2026-10-10 13:49:27
2
nanah5g :
😭😭😭Hay maumivu🙌🏽🙌🏽🙏🏼🙏🏼
2026-10-09 12:02:46
0
NEEMA BEAUTY POINT🌸💫💕 :
Alafu unakuta wao wenyew wanaanza kulia 🥺🥺😭😭ni huzun
2026-10-10 10:49:40
0
✝️miss lissah✝️ :
since I was 8 nilikuwa nikitambulishwa ivo
2026-10-10 17:19:39
0
jennea mideco🌹 :
dh inaumiza sana 💔
2026-10-10 08:22:28
0
love :
😭😭😭😭😭 nyieee
2026-10-10 09:34:02
0
Brie_BBB❤️💅🏾 :
inauma
2026-10-09 10:28:18
0
Babyrath21 :
Inauma sana
2026-10-10 09:06:27
0
jane🥰🥰 :
nashindwaga kbs kusema alikuwa💔
2026-10-09 15:32:25
2
Mirano Tz :
nkajua ni mm tu huwa nalia jamn hii kitu inakata sanaa
2026-10-09 18:50:17
0
Pretty happie🤍 :
😭😭😭😭😭 rest in peace daddy nipo nakusubir bado baba ang lkn usisahau....
2026-10-09 20:29:42
0
coràzone :
2026-10-09 06:40:37
0
Jocye Movin :
Mi kuna mtu aliniita we mtoto wa marehemu 😭😭😭😭😭
2026-10-10 11:15:36
3
To see more videos from user @tiktok.comdebbie2, please go to the Tikwm
homepage.