@cantonaiddyshaban:

Cantona House Finishing & Deco
Cantona House Finishing & Deco
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 04:06:18 GMT
26377
676
73
26

Music

Download

Comments

kinubieric
Eric :
utasikia material hayatoshi boss 😆😆😆
2026-10-09 09:14:51
11
mrcowmeat
Dom_Boy🤞 :
mwenye nyumba hapo kapigwa sna🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 05:55:58
9
rhumba.26
rhumba :
chips!!!??? YBWYB
2026-10-09 06:31:51
0
mr.umeme
Mr umeme :
hapa made chips za nini wek dona hapoo
2026-10-09 09:39:08
0
william_furniture
WILLIAM_QUALITY_FURNITURE :
watu wamefanya kazi wana kula maisha.[Fire][Fire]
2026-10-09 06:22:16
6
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
ukute boss ndo kawanunulia kama wanafanya kazi nzuri na kwa uaminifu hicho chakula ni cha sh ngap had mnaona boss kaibiwa,cjui kapigwa bei kha
2026-10-09 11:26:25
7
dungu.tz.magola
Dungu Tz magola :
mafund wamejipata apooh. 🤣🤣🙌
2026-10-09 05:09:33
1
dada.zuu.bites.pi
dada zuu bites point :
nyamunyamunyamunyamuuu
2026-10-09 09:49:19
1
ndomondojr320
NDOMONDO SUPER DECOR :
unatafuna kama pigi
2026-10-09 05:32:25
3
malikiawanguvu7
Makita Massawe :
Masha Allah
2026-10-09 04:10:03
1
user8683750712238
bin bashe@99 :
kafala ya kuingia kwenye nyumba mpya 😆
2026-10-09 07:20:14
2
mtakwim365
mtakwimu365 :
😂 apo ujue na boss yuko mazingira ya site
2026-10-09 11:50:25
1
katorosweetheart
Umbeawainstagram :
Mnatutajia bei nying ili msipike site mumfanyir delivery tunawafatilia😂😂😂😂😂
2026-10-09 08:50:24
2
mercy_cy20
Ïts mercy🍒 :
Naombeni kazi ya kuokota hata hiyo mifuko😂
2026-10-09 12:19:14
0
funstar__
[  ] funstar__ :
nyie wala viazi kazi ipo apo kweli[Tears of joy]
2026-10-09 09:16:23
1
babu.molel
babu molel :
hapo mwenye nyumba ndo kawanunulia mafundi wake msos huo,kwa upendo mkubwa
2026-10-09 14:28:01
0
brightness.rutebe
brightness Jr Rutte :
# Hawatamalizaga nyumba yako.. Tupo hapa.. 😂😂
2026-10-09 13:56:40
0
adelina.venance5
Adelina Venance :
hapo mwanaume mmoja tu 😅😅😅
2026-10-09 13:29:12
0
zainabu.plumbing
Zainabu Plumbing :
Naomba nyama
2026-10-09 12:46:13
0
zabyna012
Queen🍂inab🥀 :
Kun jitu cpend linavochakuwa 🤣
2026-10-09 11:50:02
0
the_realmafia770
FRANK 🌴 :
Hii site itaidha baada ya miaka minne mbelee
2026-10-09 13:30:25
1
lavender4643
lavender 😘 :
jmn naomba namimi😁😁😁
2026-10-09 13:25:19
0
purtupila
alvin cold :
hi sait nitajenga kidogo kidgo hamto kaa muamin
2026-10-09 13:23:32
0
nabu12552
Nabu :
Mkitoka hapo lazima mlale 😂
2026-10-09 12:31:45
0
diana.msiagi
Dyna 🍏 :
Hiyo lini hiyo
2026-10-09 13:26:23
0
To see more videos from user @cantonaiddyshaban, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About