@q.mediatz: Msanii wa Nigeria, Asake, amewasilisha kazi zake nne kwa ajili ya kuzingatiwa katika tuzo za Grammy za mwaka 2027. Kazi hizo zimewasilishwa katika vipengele mbalimbali kama ifuatavyo: M$NEY — Albamu Bora ya Mwaka (Album of the Year) na Albamu Bora ya Muziki wa Kimataifa (Best Global Music Album). JOGODO, akimshirikisha Wizkid — Utendaji Bora wa Muziki wa Kiafrika (Best African Music Performance). GRATITUDE — Rekodi Bora ya Mwaka (Record of the Year), Wimbo Bora wa Mwaka (Song of the Year) na Utendaji Bora wa Muziki wa Kiafrika. WORSHIP, akimshirikisha DJ Snake — Rekodi Bora ya Dance Pop (Best Dance Pop Recording). Kazi ipi hapo unatamani kuiona inachukua Tuzo ya Grammy 2027?? #QmediaTz

Q.mediaTz
Q.mediaTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 05:04:29 GMT
18903
711
7
2

Music

Download

Comments

mont_ventures
mont_ventures :
Ahmed olulade[Fire][Fire][Fire]
2026-10-09 13:53:29
1
indigoboyz919
Jzran :
lonely at the top is the best song of asake
2026-10-09 16:51:57
0
mrui380
Mzawa Mrui :
Alfu kuna Msanii wenu
2026-10-09 09:45:27
0
michaeldanielmich7
magu :
all
2026-10-09 08:44:41
0
bushushu1
BUSHUSHU🏀 :
wampe t
2026-10-09 14:46:15
0
limbkb
limbkb :
🙏
2026-10-09 10:16:54
1
To see more videos from user @q.mediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About