Kwan aloimba huu wimbo n uyo WA kweny picha apo jmn🥹😭
2026-10-09 13:11:00
7
Kelvin Moses :
me nilijua ni eltoni alie imba kwan uyu ni nani
2026-10-09 07:14:01
12
naa% :
really?
2026-10-09 10:22:19
0
Aqram Daddy 🥰😘 :
mmnh uongo bhana nyimbo ina miaka miwili
2026-10-09 07:05:16
5
sauda mkissi :
Acha utan bas Wimborne nimeujua juz tyu na nmeupenda sanaa
2026-10-09 07:40:48
6
jack :
Alieimba ndugu yangu muda huu tupo sinza tunakula ugali nyama choma
2026-10-09 10:12:45
5
Lilly mpnz❤️ :
😭😭😭😭😭 wew unaniliza mara mbili kwanza sikujua mwenye ako na hii wimbo alikufa 😭 pili Bwana angu kipindi ananitongoza nikienda kwake slikua akiweka aka ka wimbo nimedumu nae miaka 5 tukatambulishan kwa wazazi cha Ajabu tumeachan 😭 but hii song bado inajirudia kichwan kwangu aki mapenzi wewe😭😭😭🙌
2026-10-09 11:51:24
5
Ray mabala :
jamani huu wimbo naupenda sana da
2026-10-09 17:52:07
2
Etropia Kelvin🩸🩸 :
Nipe kwani jina la wimbo please 🙏
2026-10-09 08:59:31
0
stanslausjohn892 :
Sio kweli
2026-10-09 19:02:53
0
Panta Bizzy :
mmmmh siamini jaman hata nilikuwa sijui[Pray]
2026-10-09 13:25:52
1
Cute_ Anita :
mwenyezi mungu aipumzishe nafsiyake kwa amani
2026-10-09 06:54:49
4
nadya_🌹🌹 :
isee aliondoka mapema
2026-10-09 06:58:30
3
Ray🦋❤️ :
Nyiee😭
2026-10-09 10:29:47
0
phelister❣️👌 :
umenikumbusha maumivu mbayo nilishayaponya
2026-10-09 15:57:34
1
Shuu Baby :
alieimba sio uyuuu
2026-10-09 07:24:03
1
froween :
kwan song la mwaka gani kama kafa 2019
2026-10-09 14:49:07
1
theo🧚♂️🦋 :
Ni I love you by Thami shabede na sio ii ya elton ,af uyo kaimba in english😁😁 apo umetupanga
2026-10-09 08:23:56
4
Amina jump :
jaman mbona mapema
2026-10-09 07:24:11
1
MBENA PURE💯🏃💯🏃💯🏃 :
hii kumbe 😭😭😭😭😭 nilikuwa sijui jomon
2026-10-09 10:08:30
1
To see more videos from user @baby.passion76, please go to the Tikwm
homepage.