๐ฅบhamna maumivu makali kama haya eeh mungu tunaelekea wapi sisi wanao jamani tuzidi kuomba maisha sio rahisi kama tunavodhani maadui ni wengi tukazane maombi watu wa mungu๐
2026-10-09 05:46:21
0
Stanley mahenge :
Duh mwanetu dullar poleee yake๐ณ
2026-10-09 06:32:00
0
IAMLUKA KIHWELO :
daaah nomaaa
2026-10-09 05:33:53
0
Japhary DPE :
daah kibus๐ฅบ
2026-10-09 06:07:40
0
๐๐ฟ๐ฆMr polo.. :
ndo iih pale moro..?
2026-10-09 05:54:29
0
MTUNGUJA _JR287๐ค :
dah oya Soo poa kumbe la familia yetu kabsaa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ