@dogodani05: #😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔 #

Dogo Dani 🫡
Dogo Dani 🫡
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 05:22:13 GMT
192847
11702
475
150

Music

Download

Comments

iq_home_appliances
IQ-HOME APPLIANCES :
PENDEKEZO LANGU KWA SERIKALI.,,Bus zoote ziwe na emergency Door yaan mlango wa dharura,,kama Hapo walioungua wengi wao walishindwa kutoka kutokana na msongamano mlangoni ,,,Ikiwezekana But lote la nyuma litengenezwe la Kufunguza ili ikitokea shida kama hii wengi waokolewe,,,COMENT YANGU IWAFIKIE VIONGOZI WA LATRA NA SERIKALI KWA UJUMLA[Pray][Pray],,,Naitwa JOSEPH PAUL GWALUGWA kijana mwenye Degree ya Usafirishaji "NIT"
2026-10-09 10:02:24
210
emmie_1love
emmie_love :
kwhy watu kweny gari wamefariki wote au!??
2026-10-09 08:04:29
72
itsdeebae2
it's deebae😍 :
wanaume wanakufa me ata sijaolewa jemen 😭😭😭 Daah Baraka nilikupenda ila MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
2026-10-09 08:02:08
106
u2kufu
j4 :
si hawa jamaa wa green line jana walikuwa live
2026-10-09 07:00:54
60
0778143483mrs0
mrs :
baraka safisafii mshakaj wanguu umeondok bilaa kuaga
2026-10-09 05:34:28
38
belgar.philipo
Belgar Philipo :
chuma mwenye chuma atanunua nyingne hela anazo ndugu zetu waliokufa kwa maumivu hatutowaonantena so 😭😭😭😭😭 madeleva wa gar za Dar mnakumbia sana maisha yetu mnayaweka hatalini imagen mtu unatoka dar saa12 jion sikulala usingiz mpaka naingia mbeya kwajili ya hofu iaseeee
2026-10-09 08:41:36
26
fficialneem
@fficialneem :
mimi mdogo wangu nimeongea nae saa 4 uck alikua kafika morogoro anaelekea itg ila mpaka sasa hapatikan na hajafika home yaan hata sielewi nimechanganyikiwa ti
2026-10-09 11:44:24
16
msmariah94
❤️M_a_r_i_a🧸 :
vifo 32 ni watu weng sana kwan chanzo Cha ajal ni kp
2026-10-09 14:44:48
6
mahmoudsaadalhasan
Mahmoud decoration :
Rest easy every 💔 🙏 soul🙏 💔
2026-10-09 09:16:15
0
olisauskiene
Debora🇹🇿🇱🇹 :
Usijiulize hakuna aliepita dirishani. Kukiwa Na taharuki AKILI INAGOMA KUCHANGANUA KWA HARAKA. ANY WAY MUNGU AWAPE REHEMA HAO WALIOTANGULLIA, AWASAMEHE WALIPOKOSA AMEN
2026-10-09 09:36:34
5
gift_godfrey13
Gift_godfrey :
Tuliosafiri jana usiku ndo tunaelewa yaan saiv ndo tunafika makambako maana ile foleni sio poa kabisa😭😭😭
2026-10-09 09:52:37
12
user3273377195672
user3273377195672 :
pole sn
2026-10-09 14:08:24
0
user2101202799716
mary :
daaaah inauma sana ajar zimekua nyingi mungu tusaidie waja wako
2026-10-09 07:01:48
23
mnaziwageita
Mnazi wa Geita :
SIO hio ni hiii🥺🥺🥺🥺
2026-10-09 08:30:26
5
claudiaanthony89
Claudia Anthony :
poleni
2026-10-09 14:09:58
0
stelaabdul2
Stellah🙍‍♀️❤️ :
Daah kaka angu Siraji😭😭😭😭
2026-10-09 07:36:28
6
nado_kama_nado
Nado Augustine :
sad news
2026-10-09 07:14:20
3
iq_home_appliances
IQ-HOME APPLIANCES :
Kafara Kali sanaa yaan hapo zitashuka basi nyingi Sanaa
2026-10-09 08:34:33
11
pm.shella.tz
PM nshella's TZ :
Gari ina bima tajili atalipwa, vipi kuhusu maisha ya watu waliopotea.
2026-10-09 09:14:43
9
_.k.e.n.n.y_._
McKenNie :
tulikoswa koswa babati na hii hii gari
2026-10-09 10:07:12
8
dorcusroblove555
dorcus :
poleni san vp dereva alifanikiwa kutok mzm
2026-10-09 07:39:37
19
ericksonabell
Erocx :
ndo imewaka moto morogoro poleni sana ndugu jamaa na watanzania wote🙏 kwa msiba huu mkubwa wa kuondikewa na wapendwa wetu REST IN PEACE GOD BLESS ALL OF US😱😭😭😭
2026-10-09 07:29:01
8
staragirl2
NASRA🌸 :
Dah 🥹😭😭😭😭😭Baraka 😭😭😭
2026-10-09 07:20:01
5
user632828302
Rey 🦋🦋 :
Daaa siraj mapema sana🥹🥹🥹🥹🥹
2026-10-09 07:16:22
9
hidaya_urembo
hidayandevu :
dah nimeshuhudia😭😭😭
2026-10-09 12:41:55
0
To see more videos from user @dogodani05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About