@afmradiotz: VOCHA ZA KUKWANGUA KUSITISHWA. Sikiliza #AMKATOFAUTI Kila siku Jumatatu - Ijumaa kuanzia saa 11:00 Asubuhi Mpaka saa 4:00 Asubuhi Hapa Hapa 92.9 AFM, Dodoma na Kanda ya Kati Kwa Ujumla. Pia tufuatilie kwenye Mitandao ya Kijamii, Instagram, Facebook, TikTok, na Youtube @afmradiotz pia tusikilize kupitia Radio Box na Radio Garden tafuta AFM. Kwa Urefu wa Video Hii Tafadhali Tembelea Youtube Chaneli Yetu ya A-DIGITAL TZ. 🎤 @official_theresia_damasi @yohana_mashauri & @djman_uzo #10YearsOfAFM #Miaka10YaAFM #VibesKubwaTOFAUTI

Afmradiotz
Afmradiotz
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 05:57:37 GMT
96379
2409
84
303

Music

Download

Comments

mrzard5
mr'zard official :
namm nishapata cha kusimlia watoto wangu kua zamani tulikua tunanunua vocha za kukwangua...najua watakua wanashangaaaaa
2026-10-09 10:37:26
35
johnmzava2
Champion 777 :
toka mwaka jana mwezi wa sita sijawahi kutumia vocha zakukwangua
2026-10-09 11:41:40
17
young.girl933
apple girl 🥰 :
kumbe saiv naweza coment voice not yoooo
2026-10-09 12:37:30
1
juliuskagawa20
VON,J :
asante
2026-10-09 13:06:08
0
mayyumbason55
Scofield55 :
nina mwaka wa 2 sasaa sijazitumia izo mambo
2026-10-09 10:25:20
5
miriamgeorge1512
Singapore :
na sisi tulio songesha tunaogopa kukatwa hela
2026-10-09 10:32:38
4
lindagodfre
lindah m'bena :
kwaiyo zinakuja za kufuta au
2026-10-09 12:43:31
3
mirakitalygmail.c
[email protected] :
namwonea tuu huruma bibi yangu
2026-10-09 14:38:46
0
macoboy77
Macoboy :
tangu mwaka 2021 sijawahi na nimesahau
2026-10-09 13:09:43
1
noresstz
noresstz :
kwani vocha hutengenezwa wap iliupate kazi unatakiwa uwe na elim gani jaman
2026-10-09 13:30:22
1
vailethi.swai4
@Vailethi swai4🤑 :
Siyo vitu vyangu bhn
2026-10-09 11:23:41
1
siriveli
Emmanuel :
Hapo Sawa kwanza ukiwa una haraka una chelewa bola. Wa itoe kabisa
2026-10-09 13:17:06
1
user7281654361941
Ramze@ :
Mimi mwenyew sijui lini kukwangua vocha
2026-10-09 12:48:35
1
ihenacho.tz
~Mr Iheanacho :
Kweli kabxa
2026-10-09 11:56:27
1
chalymjuba
Chaly mjuba :
siwezi kutumia izo vocha toka 2024
2026-10-09 15:27:38
0
roseharun8
Rose harun :
sisi watanzina hatuna shida na vyocha ambayo siyo ya kukwangua jamani tanzania yangu wana inchi tuna megi .yamuhimu sasa mmmhhh😭😭😭 ila inchi yagu weiiiii
2026-10-09 11:41:31
1
user4612575173750
Ebenezer :
wenye stock kubwa wataxiweka wap
2026-10-09 15:49:45
1
dalusisingija1234
dalusi boy :
Kwani Tanzania kuna kiwanda Cha vocha wap Hadi mxhukue hatua zasitisha
2026-10-09 15:30:01
0
mirakitalygmail.c
[email protected] :
ooh zilipendwa vocha za kukwanguwa zilipendwa ninamudaa mrefu jmn sijaweka vocha kwenyesimu yang
2026-10-09 14:36:17
0
nancycliff5
Nancy Cliff :
ambao awana namba zasili je
2026-10-09 15:14:27
0
gichogo254
VIP DANCE CREE :
Muwe makini siku za mwisho zinakaribia kabisa ,hii si kawaida
2026-10-09 15:40:46
1
ebeneza_01
@Ebby_tz🫢 :
Dalili za mpinga kristo, wachache wataelewa..
2026-10-09 16:04:39
0
guspecialcrypto
Digital marketing :
sasa mimi mbona na mwaka wapili sja wai nununua vocha
2026-10-09 16:01:44
0
jesca.mak
J :
vp kuhusu sisi wa vijijini
2026-10-09 15:26:50
0
safarionemoretime
Safari Onemoretime :
Ok,
2026-10-09 10:21:41
0
To see more videos from user @afmradiotz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About