@mwl.emilian.katub7: Mwanzo 8:5 Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana. Ninatamka juu ya maisha yako katika jina la Yesu Kristo Kama Mungu alivyomkumbuka Nuhu Acha mwezi huu wa kumi Mungu akukumbuke na wewe Ninakuombea mwezi huu wa kumi maji ya matatizo, machozi, kukwama na hali zilizofunika maisha yako yaanze kupungua-pungua katika jina la Yesu! Kama vile vilele vya milima vilivyoanza kuonekana nakuombea mwezi huu wa kumi Kile kilichokuwa kimefichika kianze kuonekana, njia iliyokuwa haionekani ianze kufunguka, na tumaini lililoonekana kupotea lianze kufufuka tena Kwa mamlaka ya jina la Yesu, natangaza: hutakaa milele katika hali hii; Mungu akupe nguvu, akuongoze katika hatua zako, na akupe neema ya kuona mabadiliko unayoyaombea MWEZI HUU WA KUMI, BWANA AKUKUMBUKE! MAJI YAPUNGUE, VILELE VIONEKANE, NA UANZE KUONA NJIA YA KUSONGA MBELE! KATIKA JINA LA YESU KRISTO Usipitie bila kujiungamanisha na maombi haya kwa kusuma LORD REMEMBER ME!!!!!!!!!!!!!

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 06:50:39 GMT
32083
5335
792
206

Music

Download

Comments

user8458273486270
KAHINDO Sylvie :
amen amen amen amen amen amen napokeya kwa jina layesus christo amen amen amen
2026-10-09 08:01:19
2
safina.ally43
safina ally :
AMEN pastor God bless you all the time AMEN 🙏
2026-10-10 22:25:21
1
alia.alia.mint
Alia Alia mint :
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen I trust in you Jesus
2026-10-09 16:07:32
1
its.wanjiru50
IT'S 🌹🌹 WANJIRU 🦋🦋 :
Lord remember.. amen 🙏🙏🙏
2026-10-09 07:49:40
5
user7756576014227
mumy J💘 :
Ameeen Amen Amen Lord remember me
2026-10-09 18:18:31
1
latifaiddy
Mrs B 🥰 :
MUNGU naomba unikumbuke mimi umkumbuke na mume wangu uukumbuke na uzao wangu Amen 🙏
2026-10-09 22:54:54
6
adrih466
adrih🥰 :
Remember me Lord
2026-10-09 13:27:25
0
maren0645
Maren urembo tabora :
Amen napokea
2026-10-10 11:44:49
1
moreen.monyenche
Moreen :
Amen Amen Amen, Mungu Nikumbuke pia mm maji yaanze kupunguapungua kwa maisha yangu 🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 22:55:59
2
user2574381481703
becky rero :
Mungu anikumbuke maji yaanze kupungua pungua katika maisha yangu Kwa jina la Yesu
2026-10-09 18:31:34
6
edina.lenny
Edina lenny :
mwezi wa kumi wacha ikue ya kukumbuka katika maisha yangu katika jina last yesu amina
2026-10-09 09:36:43
2
moureenokoth20
mourine matinde :
Ameeeeeeeeen
2026-10-09 08:22:09
1
florah.benard7
Florah Benard :
mungu nikumbke kwenye kazi yangu kwenye biashara yangu leta water nakuomba
2026-10-09 07:48:44
2
user2048267304423
sylvane :
amen amen amen amen amen papa pasteur 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-09 11:43:06
1
user9275480800527
user9275480800527 :
Mungu nikumbuke mwezi huu wa kumi.
2026-10-09 08:22:26
1
madamj301
Judith business coach :
Na iwe kwangu kwa jina la YESU AIMEEEEN!!!!
2026-10-09 07:59:28
1
judith.nanyangwe93
Juliana :
lord remember me 🙏🙏🙏
2026-10-09 07:43:56
1
kui.the.star
the star :
Amen 🙏🙏
2026-10-11 00:20:22
0
latifahussein46
latifahussein46 :
remember me ooh lord
2026-10-11 02:03:59
0
josephtyohana
Josepht Yohana :
amen amen 🙏
2026-10-11 01:51:07
0
minzabby
minza_baby 🙏♥️ :
Lord remember me[Pray]
2026-10-11 01:42:31
0
dullaabdalah
Dulla Abdalah :
amina🙏
2026-10-11 00:29:28
0
chrizo25
T....#....C....!. mamake Bobo :
🙏🙏🙏🙏
2026-10-11 00:27:47
0
hesbon442
mzunguu :
Nikumbuke nami ee Mungu wangu [Pray]
2026-10-10 23:09:15
0
ma.julienne90
ma julienne :
Amina
2026-10-09 14:02:03
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About