@efathatv: Highlight ya matukio yote ya utukufu yaliyotokea siku ya nne katika Kusanyiko la ukombozi Precious Centre Kibaha Usiache fungu lako la ukombozi likupite. Shiriki na tufuatilie moja kwa moja kupitia @efathatv #KusanyikoLaUkombozi2026 #EfathaTV #EfathaChurch #WebringtheworldtoJesus