@kishkionlinetv: Qur’an inatufunulia sababu zitakazowafanya watu waingie Motoni, ikiwemo kutokuwa miongoni mwa walioswali. 📖 Allah anasema katika Surat Al-Muddaththir (74:42–43): “Ni nini kilichokuingizeni Motoni?” Watasema: “Hatukuwa miongoni mwa walioswali.” 🕌 Tusizipuuze swala zetu, kwani swala ni nguzo muhimu ya Uislamu. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako