@_beauty_haven: #cosmetics #SkinCare101 #tanzaniatiktok #vairalvideo

beauty_haven
beauty_haven
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 07:30:23 GMT
181430
5997
232
287

Music

Download

Comments

ukhutyhaila
Ukhutyhaila :
Razac ni Nzr niliwai kupaka
2026-10-10 04:32:39
4
wiin005
Cathwin097 :
Nivea Q 10 nimzuri Sana
2026-10-10 06:27:35
17
vivy08rose
vivyrose08 :
nivea Q 10/10 - nothing
2026-11-12 09:11:18
0
naa520839
Naah💞💙 :
Tumieni Amara wapendwa mtakuwa na ngozi nzuri 🥰🥰
2026-10-09 13:16:09
97
thatmelanin1808
MeLa+250🫦 :
bei nafuu ndo bei gan msije kusema 30k😂
2026-10-09 16:39:32
40
matunda044
matunda044 :
Kupaka hadi usoni ?
2026-10-09 13:25:03
6
999_samira
Samira :
Nivea nzuri sana
2026-10-10 00:47:18
3
user9459381798491
minaah🤍 :
AMARA❤️‍🔥💯
2026-10-10 15:29:10
2
dee132019
Diana_😍🌹 :
razac na inanukia vzr sana 🥰
2026-10-09 19:05:41
3
user6956367581859
Mama wa Sami :
hiyo Razac ilivyoniharibu sina hata ham nayo
2026-10-11 10:23:43
5
mindless715
Nnie🤎 :
Hiyo nivae hata ukiwa na rangi mbili mbili mwilini inakuweka rangi moja huku ingakung’arisha haswa🥰
2026-10-10 15:49:55
6
abby.star28
abby star 💫 :
uwe unawk no bx
2026-10-13 15:02:55
1
jacklinejulias
Wolper 🦋🔐 :
Naomba nijibu ivi Nax ni nzur
2026-10-09 15:03:25
2
daydeqeen1054
daydeqeen1054🥀 :
Jmn mi hii 10 ilinitoa mba jmn
2026-10-09 20:01:09
4
naahjh
Naahj⭐ :
wow io razac ndo naitumia ni nzuri sana dada🔥
2026-10-09 13:11:48
5
teekay164
user3166884050027 :
Sasa mmetaja za mwilin usoni anapaka nn ili kuendana na hizo lotion
2026-10-09 12:14:15
3
selinamgonda
xchn :
Nivea ni nzuri jmn inanukia. kama unaidokoa kwa mtu unakamatwa
2026-11-01 09:58:39
4
nasranasraty475
half agent 😘 :
my dear naomba msaada nitumie nini kwenye uso wangu umeshafuka vipele vidogo vidogo then unawashaaaa na Nina uso mkavu sio wa mafuta dear
2026-10-09 16:01:21
0
mrs.smile410
Aeshqi❤️‍🔥🤍 :
Ya kwanz kiboko alaf haruf yak tam balaa😋😍
2026-10-09 20:47:10
6
da.tinna1
Da tinna😊💘🦋 :
tumieni Gago magic ✨
2026-10-09 17:47:53
3
adelina.lyonile
Adelina Lyonile :
Razack ndio lotion yangu miaka 8 sasa
2026-10-13 19:51:54
3
user5618845665061
atrya :
usemege na bei bas
2026-10-09 17:32:15
3
user3363576136084
user3363576136084 :
hizi vitu niza uwongo tu
2026-10-11 18:06:20
1
asmahawadh
Mam faa2 :
minataka kua kama wew nitumie nn
2026-10-09 18:35:51
3
rebymhoja
Ruby :
imenikataaa hiyo mafuta yake ya mgando ndo yamenikubali
2026-10-09 11:53:26
4
To see more videos from user @_beauty_haven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About