@chomozatv: Mungu akuinulie watu wenye mioyo ya kukukubali, kukusogelea na kuja kwako bila kusita. Watu ambao Mungu amewaandaa kuwa sehemu ya kusudi lake katika maisha yako na ambao hawatazuiliwa na maneno ya watu wala mazingira. Kila mlango unaohitaji kibali cha Mungu, na ufunguke kwa wakati wake, katika jina la Yesu Kristo. ( ✍️ chomozanews. ) #2026angaza #2026iwenurukwako
chomozatv
Region: TZ
Friday 09 October 2026 07:33:10 GMT
Music
Download
Comments
safina ally :
AMEN pastor 🙏 Mwenyezi Mungu akubariki sana ♥️🙏 💖🙏
2026-11-18 13:51:42
4
fadhilichambuli :
MUNGU UNIINULIE WATU NA WASIKATAE KUJA KWANGU KWA MAMLAKA YA JINA LA YESU KRISTO ILI NILITIMIZE KUSUDI LAKO
2026-10-20 13:54:03
11
@rashym❤️😘 :
Amina
2026-11-08 06:44:59
1
BINT YA YEHOVA :
Amen najiungamanisha na maneno yako
2026-11-16 19:51:09
2
Happie :
MUNGU naomba uniinulie watu ,na wasikatar kuja kwangu🙏🙏🙏🙇🙇🙇
2026-11-13 21:24:54
3
Christina Cloud :
ame
2026-11-21 04:20:24
0
lydia simon :
Hili ndo ombi langu kwanzia sasa niinulie watu watu watu wa Baraka umenionyesha kuna watu umewaandaa wadhihirisha sasa Mungu wangu
2026-11-12 16:25:32
2
Maggie :
Amen... Mungu naomba niinulie watu sahihi na wasikate kuja kwangu
2026-11-11 13:04:37
3
kemilembeaudax :
Mungu niinulie watu na wasikatae kuja kwangu Amen 🙏🙏
2026-11-11 13:25:15
1
Miss.Minja Actres :
AMEN AMEN MUNGU ANIINULIE HAO WATU AMEN
2026-11-17 11:22:48
1
monge :
Aminaa naomba Mungu u iinulie watu na wasikatae kuja kwangu
2026-11-11 17:32:51
1
lucylekoringo :
Nyiee tuwaombee watu wetu wa muhimu na watu sahihi
2026-11-05 18:53:45
1
Lettymbl :
Amen
2026-11-09 12:27:54
1
Matilda Shirima 1979 :
Ameeeeen
2026-10-09 08:07:20
0
Happie :
amen🙏
2026-11-13 21:24:25
1
Lightnesskivuyo :
Amen
2026-11-20 13:57:59
0
Aimée Bashwira :
amen
2026-11-20 12:38:17
0
Neema Mpoto :
Amen🙏
2026-11-20 06:37:46
0
glory hairstyles Arusha♓ :
Amen
2026-11-21 05:51:13
0
3d studio :
amen
2026-11-20 17:25:04
0
GEE tonny👄 :
Ameni napokea kwa jina la yesu
2026-11-20 06:17:48
0
sosunyo :
amina MUNGU niinulie watu na wasikatae kuja kwangu
2026-11-20 05:27:11
0
Jojosauli :
Mungu niinulie watu na wasikatae kuja 🙏
2026-11-20 05:21:09
0
avi dimpo :
Ameni amen
2026-11-20 05:20:46
0
esthermal2 :
Ameeen
2026-10-09 08:58:04
0
To see more videos from user @chomozatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.