@khidmatv1: Kisa hiki cha Masheikh walioenda kwa Tajili kuomba Pesa kwaajili ya Ujenzi wa Msikiti chawagusa watu wengi. #khudmatv #UtumishiKwaWote #masheikh #miskiti #umata ✍🏽Bushra mgodoka

KhidmaTV
KhidmaTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 10 October 2026 04:00:00 GMT
13786
543
39
63

Music

Download

Comments

user2993510260071
user2993510260071 :
lkn sio jambo jema kudhalilisha watu kwanini msimalize ndani.wenzetu WAKRISTO wanaibiwa kila siku lakini wapo kimyaaa kama chadema wanavoibiwa
2026-10-10 06:02:46
2
big.truck.driver89
BIG Truck Driver :
As/m alykum Siku zote usiangalie matatizo pekee angalia na chanzo chahayo matatizo maana kila kitu kinatokea kwasababu shida kubwa ni sisi waumini wadini ya kiislam hasa africa hatuna tabia yakuwajali viongozi wetu wakidini kwasababu ingekuwa tunawajali wangeishi vizuri sana na wasingekuwa natamaa yakufanya hivyo Pia kumbuka kwahapa tu Tanzania matajiri wakubwa asilimia kubwa ni waislam lkn hawana mioyo yakutoa kwamfano mtu kama Shekh Habib Othman Mazinge namashekhe wengine ambao wamefanya kazi kubwa saana yakusambaza ujumbe wa [ Allaah ] angalia maisha yao halisi si sawa namashekhe wanchi za uarabuni au nitofauti na viongozi wadini zingine kwahio shida kubwa ya sisi waislam tunapenda saana kuongea kuliko vitendo mtu anamiliki mamilion Bank lkn akiombwa elfu tano yakununuwa luku msikitini analalamika yani mpk aibu kabisa sijui itakuwaje kesho kwa (Allaah) 🙏
2026-10-10 07:29:26
0
nssossolo.fash
transport nssossolo :
Allah hu Akbr
2026-10-10 08:15:40
2
kassimsaid151
kassim :
dhulma inatakiwa ikemewe hadharan maana wanaotoa sadaka kuipata hyo sadaka watokwa jasho😊☺️
2026-10-10 08:54:01
2
dhimusha
Dhia muhammad :
Na mbona ipo na imeenea sana hiyo, bora ununue mwenyewe upeleke vitu na sio hela
2026-10-10 05:00:53
2
salum.said76
Salum Said :
kha kumbeee hiii sio sawa
2026-10-10 11:35:56
0
saidsungita
SAIDI SUNGITA :
miongoni mwa masheikh nawakubali sheikh wakat
2026-10-10 06:40:54
1
user8079695081929
musa kitimbiri :
Allah Akbar
2026-10-10 11:46:12
0
user8350928105093
أبو فهمى :
Subhanallah Allahu Akbar
2026-10-10 09:45:33
0
.anani4
Tobiasi :
kweli kabisa
2026-10-10 10:42:25
0
runangwimbage
Official Runa Ngwambe :
subuhanallah
2026-10-10 11:23:30
0
rahim.ramsey1
Rahim ramsey :
wala siyo uongoo mie shahidi nilishashuhudia kwa macho yangu nikiwa katika uongozi wa msikit kuna bwana alikuja kuomba msaada tukapata laki 7 akaambulia laki moja na nusu
2026-10-10 10:35:51
0
oshagari
Bernard Joseph Munisi :
Nikweli kabisa, ndiyo maana Allah anakufanya kijana miaka nenda rudi. Allah akubariki sana Mzee wetu na imam wetu.
2026-10-10 10:27:50
0
mohammednassor275
Mohammed Nassor :
WENGI WAO Wako hivyo Allah Atuongoze
2026-10-10 07:30:33
0
riffat.win
Riffat Win :
kweliiiiiiiii
2026-10-10 04:41:31
0
aboubockery
aboubockery• AM :
huu musiba ndo maan linapotokea suala la kuchangia kunakuwaga na changamoto san mpak kusemana jaman tumuogope mungu waislam alafu watu wanasema waislam wagumu kwa mamb haya kwel jaman
2026-10-10 08:24:03
0
dhimusha
Dhia muhammad :
Mimi mmoja wapo huwa sitoi hela cash hata kama ninacho
2026-10-10 05:02:15
1
.anani4
Tobiasi :
NIKWELI. USTADHI UKWELI RAZIMA USEMWE
2026-10-10 10:41:15
0
mwinjumajr
chuseability :
nimesikitika sana
2026-10-10 06:04:50
0
mayyaasif
mayyaasif :
kwali kabisa
2026-10-10 05:59:55
0
buwissam
amir mohamed :
ALLAH akurehem sheikh letu Waqat
2026-10-10 07:55:16
0
ammymagariused
ammy_magari_arusha :
Inna Lillah waina illah rajyuun msiba huu
2026-10-10 07:49:39
0
rizwani.viatu
Rizwani Viatu :
Nikweli japo siowote
2026-10-10 06:11:25
0
wales15
wales :
umeongea ukweli kabisaaa kamati nyingi za msikiti ni majambawazi na washirikina na ukitaka kuhoji kwann mnafanya hv lazima upigwe jini shubamiti
2026-10-10 09:43:01
1
aziz.hatmi
Aziz Hatmi :
La hawla wala quwwata illa billah. Msiba mkubwa huu hawaogopi moto Allah hawo maaheikh shehena
2026-10-10 06:18:06
0
To see more videos from user @khidmatv1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About