@apostle_msechu: WEWE UKO STAGE GANI KWENYE NDOA KATI YA HIZI?

APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 08:00:46 GMT
118751
5048
438
924

Music

Download

Comments

user43802781635380
♥️Mrs Mendez 💞🔐 :
yngu iliruka hyo stage ya 1 jmn[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-09 15:10:31
5
cataleyaalbasrah
cataleyaalbasrah :
cjui kwann nilipenda hii ng'ombe😅🤣
2026-10-09 16:56:13
33
marium.kassim0
Marium Kassim :
stage ya kwanza kukiwa hakuna mtoto nyie ni Raha sana
2026-10-09 13:16:41
47
prisca_kudeba
Peony kudeba :
Ndoa yangu iliruka stag 1 maan nimeanza na sg 2
2026-10-09 11:36:47
29
achibela.com
ACHIBELAH🇰🇪🇺🇸 :
mimi niko na miaka kumi kwenye ndoa lakini niko kwenye stage ya kwanza mungu tusaidie🥰
2026-10-10 15:41:08
18
nasramohamedi442
Nasra Mohamedi :
Facts wa kwenye reality saivii tujuane tunataka kukimbia🏃🏃
2026-10-09 13:58:10
16
marydebless
@queen :
jana nimepigwa hamuweziamini kesho naendakwetu
2026-10-12 14:51:26
7
mrs.p681
Mrs 💗pirlo🙈💦 :
saiv nipo stage yapili naamini ntapita salama mungu nisimamie🥰
2026-10-09 16:27:55
11
parvy_124
parvy_124 :
zote nimepitia,mpaka kifo kitutenganishe
2026-10-09 15:13:08
12
judith.john87
Judith John :
tupo stage ya pili asee niombeeni tu😒umenifundisha jambo baba ,,cha kuzingatia ni upendo na msimamo
2026-10-10 08:14:06
7
lucy.rabiel3
lumara@20 :
stage ya tatu please🙌🏼
2026-10-09 13:01:54
5
vivih35
Vivih :
Amena hii nikwel mim nipo stage2 hahahah
2026-10-09 11:06:48
5
zaituni.kwessy
Mrs H :
na miakaa mi5 ilaa mhh yataka moyoo na uvumilivuu haswaaa
2026-10-11 11:58:21
1
sheila.roman43
Sheila Roman :
uhalisia imi Niko hapo
2026-10-10 04:10:56
1
angelm8551
Angel Molel :
mim niko na miaka sita kwenye ndoa lakini niko kwenye stage kwanza mungu tusaidie
2026-10-10 14:57:42
0
rizlathamad27
Rizlathamad27 :
mungu atusimamie
2026-10-09 19:56:11
1
aishakika7
Aisha Kika :
Mimi stage zote nimepita hizi daaah hii ya pili ni ngumuuu mnooo Yan usipokua na subir, daah tunakushukur baba Kuna kitu nimpt kupitia hii video ahsante👏👏👏
2026-10-09 13:08:42
7
momkipepeo
Momykipepeo🦋 :
Me 2😂😂😂
2026-10-09 20:42:23
1
user2373488871254
user2373488871254 :
kweli
2026-10-09 16:30:33
1
mama.naa56
mama naa :
mungu anivushe hii stage 2
2026-10-10 07:51:35
1
mumy.my1
mam gal 👧 :
nko stage ya 2 sasa niombeeni😂
2026-10-09 18:28:48
4
milleyramsey
milleyramsey6 :
uwiii nlianza kwenye reality then nikaja kwenye romantic lkn saiv nmerud Tena kwenye reality 😂😂😂
2026-10-09 16:35:53
4
nicerjoseph
veetricious joseph💓😍 :
naomba kujua stage ya 3
2026-10-09 15:19:24
1
neemamrema412
Mrs E Mrema ❤️ :
Namshukuru Mungu kwa stage ya pili ya uhalisia nimevuka salana now miaka 18 ya ndoa 🙏
2026-10-13 02:23:28
2
kavukedeborah
Kavuke Deborah :
hatari sana
2026-10-09 14:40:47
1
To see more videos from user @apostle_msechu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About