Kuna sku nilisafiri usku kutoka dar kuja iringa katika kushangaa shangaa kwangu naona dereva anayumba akaomba asimamishe gar alale akasema anausingizi hajalala sku mbili akapaki gar tukalala masaa mawili af tukaondoka yule kaka popote alipo munguu ambaliki sijui jina lake lakini ni kampuni ya alsaedy walah Angekua mwngne angefosii kuendesha hvohvo na usingizi na mwsho kutubwaga 🥺🙏🙏
2026-10-09 15:45:46
30
мαиυєℓ :
Dah 😢💔 inauma sana kuona chuma kilichobeba matumaini ya watu kikigeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu. Mungu awalinde wasafiri wote na awafariji wote walioathirika. 🙏😭
2026-10-09 10:19:24
46
heli a k a mnyalu og :
mungu tujalie sisi madereva
2026-10-09 08:59:12
15
boss mkinga :
road life sio poaa
2026-10-09 11:38:30
0
REYMAN BOY🛣️ :
😭😭😭. road life
GOD BLESS ALL FIGHT 🙏🏿
2026-10-09 08:17:45
0
Dickson John :
punguzen mwendo Kasi tafazali ma dreva 😭
2026-10-10 07:23:01
0
Mary kileo :
mungu atusaidie jmn maisha sahv yamekuwa mafupi mno
2026-10-09 10:13:15
16
@DSS :
Nawaombeni sana wanawake wenzagu ambao mmmeolewa na dereva Au mpenzi dereva .🙏awa waty wapeni mda mzury wakirudi Sarama wapeni maneno mazury jamn .wabemberezeni .tena has ukikuta anakutizimia majukum yako .mpe pole kama mtoto .usimpe kelele akilud .barabalan wankutanaga na mengi sana mnoo 🥺🥺
2026-10-10 10:51:59
1
Eva Temu🥰💕💕🔥 :
ooooh Mungu moyo wangu unavuja damu najua kifo ni ahadi ila naomba utujaalie mwisho ulimwema😢😢🥺
2026-10-09 15:31:25
6
Roja Tz :
Dah road life
2026-10-09 08:15:07
6
🌺Firstborn 🌹 :
Eeh MUNGU turehemu sawa sawa na mapenzi yako🙏
2026-10-09 11:15:28
4
ZARAVELLE🌙🌌 :
Atarii Sanaa🥹🥹
2026-10-09 10:57:11
3
moviesupdate2025 :
serikali isitishe safari za usiku Hali imekuwa mbaya
2026-10-10 05:24:24
1
S Salumu salumu :
nimeishia kulia2 mm madreva wote mungu awatunze awaepushie yote mabaya mnayokutana nayo
2026-10-09 10:24:06
3
Ulamaa :
Ni Noma ni Hapo Bwawani Jana 😭😭😭
2026-10-09 12:38:52
1
walinda_camp :
Daaah 😭😭😭😔😔
2026-10-09 11:33:34
1
MTUNGUJA _JR287🤠 :
dah la familia yangu kisondolela 😥😥😥💔🙌🏾
2026-10-09 19:27:59
1
last charii🐼🐼 :
Nikukumbushe2 piah na kunauwezekano wa kutokulud kabisa coz haitojulikana hata mahali ulipo 😢😢😢.eeeh mwenyeez mungu tujahalie mwisho mwema ili kama tukitoeka dunian bas hata ndugu zetu waweze kuona miili yetu 🙏🙏🙏
2026-10-10 03:45:42
1
papayai tz🇹🇿 :
daah kisondela home boy 😭😭😭
2026-10-09 10:51:10
3
Tenende_boy :
😭😭😭dah ni mbayaaa
2026-10-09 09:11:17
2
Roddy De Brighter :
dah mwanang kila day nakuombea fame yang ila ndo maisha kak mung mwemaa
2026-10-09 13:58:14
1
👊👊JOSE AGENT💪💪 :
r.i.p 😭😭😭
2026-10-10 10:11:28
0
Wamoro bovu :
daaa mungu tupe mwisho mwema
2026-10-10 11:16:34
0
To see more videos from user @noah_brighton, please go to the Tikwm
homepage.