@macknon_nana: 🎗ROSO FUND IS A GANG OF SCAMMERS KENYANS BE WARNED ⚠️📢‼️ | THE PEOPLE'S GUARDIAN 🕊 | SCAM BUSTER☠️ | MAC TALES🗣️ #kenyansingulf #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansinsaudia🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 #teamstrong #kenyantiktok🇰🇪
Na long fund investment pia aky lets create awareness 💔😭😭😭
2026-10-09 14:00:23
0
edinakuloba :
Is true my brother, there was almost to steal from me, I thank God
2026-10-10 04:19:31
0
katebrowniemcute :
Amen Amen God good morning yes 😄😃
2026-10-09 16:47:06
0
Ifeoma Ezeeh :
fear sharp bois [Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-10-09 09:35:31
0
Happiness Mbaka :
Very true
2026-10-09 18:04:14
0
506 :
mimi mwa menikula alifu ishirini
2026-10-09 08:32:04
3
mwendes :
Aki Roso fund alinicon 28,900 on July Mungu amuone tu
2026-10-09 11:35:06
3
🪽🪽 :
Mimi naye before nitumie mtu doo nakuanga nimemzungusha adi mwisho namwambia sina doo baadae
2026-10-09 09:24:11
4
hawaa :
unafanya kazi nzuri sana🥰
2026-10-09 13:29:23
1
Catherine :
we ansante ndikua nataka kujoni
2026-10-09 08:53:32
0
Sonia 🤗 :
nimbaya sana aki
2026-10-09 08:38:27
1
nao123💕 :
Mimi hizi vitu siwezi jaribu hata kidogo
2026-10-09 08:47:58
0
Queen deejah :
shukrani sana kwa kuzungumzia hili alikula pesa zangu 25000 ni uchungu sana 😭
2026-10-09 13:42:01
1
mrembomweusi Tii :
hawa ni wezi sana waliniibia
2026-10-09 09:18:32
0
kado'ot reborn :
No wonder I locked my profile 😫juu mie kutusiana na watu na ufala za ati"promotion,umeskia join" alafu once umeskia any loan programme inaanza na "weka activation fee" iyo ni SCAM! mimi ile kuumia na umia ata 50 siwezi tuma kiufala ivo😫🫴🫴
2026-10-09 09:22:07
2
celi :
mimi sijui kama naweza jaribu kutumia watu hapa social media pesa yangu ukora uko hapa wacha tu
2026-10-09 15:23:52
1
Saralyinah :
mimi walikula zangu
2026-10-10 12:27:16
0
001 kkmg :
Aki Kenya imeisha
2026-10-10 18:28:27
0
Ali Wetu :
Aliniambia nitume 5000Ksh ndio wanipe loan, roho ikakataa. Niliponyoka kwa tundu la Sindano.
2026-10-10 13:11:35
0
Gety :
Asante sama bro kunifanyia uchunguzi mungu akubariki kila njia zako zote niko na Rodo fund inbox yangu nilikuwa namfatilia kwa miexi 4 niko saudi nikipata doo nawaza nimtumie 15k alizo niitisha kitu inanipa mawaxo usitume huyu ni mungu ninao muomba kila wakati namlisha block sahi thanks bro
2026-10-10 12:53:17
0
peshfaith :
mimi niliwauliza kwani hawawezi kata pesa ya kurijista kwa loan,wakasema apana,nikajijazia hao niwezi.
2026-10-10 16:16:11
0
Florence Gathu :
hawa watu bona hawashikwi
2026-10-10 12:44:48
0
RISH RISH :
Asante sana mkuu
2026-10-10 12:02:04
0
Vitwaga :
...utakachopata kitashinda soda mara dufu....shukrani kaka
2026-10-10 15:10:24
0
To see more videos from user @macknon_nana, please go to the Tikwm
homepage.