Sijui Itawezekanaje Uwe Rafiki Yangu Tu Maana Akiri Yako Nikubwa Sana
2026-10-09 10:02:01
11
gamba mutu :
Yaani kikubwa wanataka uwe kwenye mfumo wa kuuziwa matumaini ya baada ya kifo ili usihoji mifumo na uukubali umaskini, wakati hapahapa duniani kuna watu wana pepo yao, wamejijazia utajiri,dhahabu. Wamejitengenezea kimji chao cha maziwa na asali. Usipoamini tu vitisho vinaanza oooh utachomwa moto! mara ngoja upate matatizo! duuh ili tu uingie kwenye mifumo yao!
2026-10-09 11:46:04
7
user03626795658 :
wananisumbua sana mi sihitaji dini zao
2026-10-09 13:48:01
3
Davister4 :
una akiri sana mkuu
2026-10-09 10:31:12
4
ibarwe mng'ashini :
mara uambiwe utazikwaje!! swali la "kizuzu "
2026-10-09 09:42:26
3
Ibra_HimThe1st๐ฝ :
Nimekuelew ss โฆ๐๐ป Na asant San broโฆ๐๐ป๐๐ป๐
2026-10-09 13:22:32
2
T Five :
๐๐
2026-10-09 17:32:53
0
Moses Ismail :
big brain
2026-10-09 13:57:09
1
ุณู ุฑ :
hata kama wee atheist ama mpagani na.huwez kuishi nnje ya mfumo lazima utakuwa na mfumo tu.
2026-10-09 08:43:34
2
M-TIC TAC :
hizi ndo akili nilizo tafuta siku nyingi.
na kwataharifa yenu
nauza plot langu la mbinguni ๐คฃ๐คฃ๐๐ ๐ ๐๐๐คฃ๐๐คฃ๐
2026-10-09 10:31:09
4
๐Mauabahari๐| AUDACITY :
Utapopolewaa๐คฃ weeh, tena wanaungana KUKUPOPOA ๐คฃ
2026-10-09 23:15:53
0
Riah :
Wenye mifumo wanaeza kukuchemsha supu๐
2026-10-09 15:48:02
0
msekenijr :
๐ฅ๐ฅ๐ฅ
2026-10-09 15:42:21
1
African Throwback Stories :
๐๐
2026-10-09 09:11:49
2
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.