@radiokwizerafm: Watumishi wa kijiji cha Buzi katika halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera wamekuwa na hofu kutokana na vitisho vinavyohusisha imani za kishirikina kijijini hapo katika majukumu yao ya kazi. @davidmwaluseke @rehema_ruhotora ✍🏿@amonalfred_tz #radiokwizera #2026aminia #mchakato

Radio Kwizera
Radio Kwizera
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 09:02:28 GMT
13223
457
47
39

Music

Download

Comments

tinaa13906
tinaa :
mim ni muhaay ila sijui ich kijiij jmn wala kukisikia au mim nipo pekeang 😂😂
2026-10-09 17:47:30
6
allan_ki30
Allan B Kichemu :
hakipo wilaya ya Bukoba. msitoe taarifa kwa miemko
2026-10-09 17:31:10
2
kashju1
user5060600180133 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kumbe ni kweli ngoja niichukue nimtumie rafiki yangu wa buz
2026-10-09 18:12:19
0
triphina47
tri-phi-na :
Jamani kwetu uko lakini sio kweli ety
2026-10-09 17:18:18
2
user2381600879060
Bdinag :
Kwel tumekua tukisikia buzi ikisifika kwa tabia izo ety wanakula watu sijuh nikwel?? yani tangu nikiwa mdogo buzi inasifika kwa ushirikina na kula watu🙌🙌
2026-10-09 18:41:38
1
manywele.12
ManyweLe 1&2 :
mm mwenyewe nilikua napaogopa ilabaada yakwenda nikakuta watu wanaukalimu mno
2026-10-09 16:16:13
2
ausonmkoba550
son :
hyo kijij toka kitambo inajulikana aseeh
2026-10-09 17:19:21
1
gody.tumaini
Gody Tumaini :
nikwel mamkubwa Wangu aliponea chupuchupu kuliwa alie mkooa n Mtoto ndo alitoboa sili alipokwenda kupeleka zawadi kwa lafiki wake
2026-10-09 17:25:31
1
pistonworks
Ivan mechanic🔧🛠⚙️🏋‍♀️ :
Hiki kijiji tulienda kucheza mpira,na timu yao mbn tulipigwa za kutosha aseh😳
2026-10-09 16:51:19
0
saji38631
saj twaibu mudry🇹🇿🇿🇦🇳🇫 :
buzi ni bugabo
2026-10-09 19:15:27
0
madamboss215
@Nifashe madam :
panasifa mbaya hapo buzida cjui kwa nn jmn
2026-10-09 15:32:36
1
bilinize
billinize :
kule noma sana kaka sioo kule bugabo
2026-10-09 17:31:40
0
judithleonard63
Judith Leonard :
watu wanakuza maneno tu
2026-10-09 16:58:09
0
amina.juma6978
Amina Juma :
irekuwaga zaman warikuwa wanakura kwer ware wazee wa zaman nkweri msikataee
2026-10-09 17:23:59
0
tawaddunia
TAWA D Dunia :
hahaha ila buzi mmetutesa sana watu wa ishoz kipnd tunayoka kuvua dagaaa na samaki
2026-10-09 17:21:04
0
vanvance5
Vanvance :
waokoke mungu ni wetu sote
2026-10-09 16:51:56
2
erastoernest65
ERASTO ERNEST :
mpaka Leo jamani hawajabadilika?!!
2026-10-09 16:46:01
0
kaumbya6
🇹🇿Muala🇹🇿 :
Me kijijini kwangu wachawi mbaita alafu mbalya ogwo owobaita uchawi upo bukoba sio siri 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-09 17:10:04
0
dianadeogratiaska
diana :
yaan uko ni atari
2026-10-09 19:16:15
0
user4038157708034
rwakana :
hiyo sehemu ni hatari zamani walikuwa wanakukamata mchana kweupe usiniambie buza ww
2026-10-09 17:33:05
0
user9998152165248
witty :
bukoba nao sio haba ichukulieni poa nawajua 😂😂😂😂😂
2026-10-09 17:49:38
0
user2270900333374
Abdrazack tz Rwekaza :
hicho kijiji cha buzi kipo bugabo kata ya kagya ni hatar sana uko bugabo buzi
2026-10-09 19:26:52
0
alson.alson0
SONCHRISS MADINI :
kuna na kasoni kyerwa ni hatali
2026-10-09 19:20:05
0
antiapius
antiapius :
watu niwaogo
2026-10-09 16:58:29
0
deusderithmtegeck
most :
amn ao wanapend kukuza maneno
2026-10-09 16:32:59
0
To see more videos from user @radiokwizerafm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About