@tuzoonline: Hii ndio list ya Marefa watakaosimamia mchezo wa DABI ya Kariakoo kati ya Simba Vs Yanga kesho uwanja wa Uhuru. Video Nzima Tayari Ipo YouTube Kwenye Channel Yetu Tuzo Online Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu Kutazama #wajombalife #wajombatotheworld #tuzoonlinetunakupaunachostahili

Tuzo Online
Tuzo Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 09:02:51 GMT
115660
6025
333
82

Music

Download

Comments

gidion.majula0
Gidion Majula :
tayari simba wapo nyuma kwa goli moja
2026-10-09 10:50:58
49
mk14.kode.star
mk14 kode star :
kama nialajiga bas simba imeisha
2026-10-09 09:39:00
53
user5856313192599
mafunde :
wanachopitia chadema ndicho kinachotukuta simba
2026-10-09 11:29:06
46
gwantana113
~TEMPA MJAPANI 113⚠️ :
mmmm alarajiga simba kushinda mpk elninho 🤣🤣
2026-10-09 11:58:27
2
aggie20202
Aggie :
nikiwambia Yanga ni ccm muwe mnaelewa
2026-10-09 11:25:08
19
opulentosassociates
Adv_NKWERA :
Mwambieni kabisa akizungua tunaye mwaka huu
2026-10-09 10:45:19
17
user2888034936622
mariachi :
Mnaonaje mkiitanga yanga bingwa kabisa tukajua moja tu
2026-10-09 13:21:52
0
tiluu.tz
Tiluu Tz :
Bhaaaaaaaaaaaassss[Big LOL][Tears of joy]
2026-10-09 10:18:03
0
user9926184345806
P. LUVANDA🌹 :
tumekwishaaaaaaa simba
2026-10-09 14:04:38
0
salley816
💝Salamandra💝 :
Baaaaaaas tumeisha
2026-10-09 13:45:13
0
lethy2084
lethy :
Simba tumeisha
2026-10-09 13:53:20
0
neemavennace
ney 🦋♥️ :
wote na tuseme yanga bingwa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 13:12:49
2
mausantiagomausantiago19
[email protected] :
oya simba hapa hatutoki
2026-10-09 11:18:15
1
mande3018
mande :
Kila cku Refaa uyo uyo Tu akuna marefaa wengine
2026-10-09 10:40:56
6
thomasmianga
Thomas Mianga :
Arajiga refa bora Tanzania. na CAF wanalijua hilo ndo maana huwa wanamwita. huwezi kuta Aly Sassi au kayoko aitwe kwenye match za CAF
2026-10-09 12:32:31
1
aaronnyanda863
N. T. G :
Nataka kuskia watu wakisema YANGA BINGWA
2026-10-09 12:56:48
2
teehsingah2
💗teeh🧸 :
Km refa ni arajiga bac simba tumeisha 🥺
2026-10-09 12:32:24
4
pollytiktok.com07
Polly :
KAMA NI ARAJIGA BASI SIMBA TUMEKWISHA
2026-10-09 09:34:14
11
zainatsalum
Zainat Salum :
poa kaka🤣🤣🤣🤣
2026-10-09 09:40:41
2
mudrickgeniuz
🌲SMART🧑🏻‍💻 :
HATUMATAKI ARAJIGA
2026-10-09 11:23:21
1
user3170321760355
Amwaly :
basiiii kesho Simba watapigwa5😂😂😂 alajiga kama kawaida yetu wanainchi usituangushe
2026-10-09 12:40:28
2
user5777840248192
Dr G 🤫 :
yanga apewe point Tatu kama refa n arajiga
2026-10-09 11:59:53
3
donald.ndimbo
Donald Ndimbo :
Hawa jamaa sijui kwa nini hawaelewi jambo wakilikataa simba huwa hawalitaki kabisa nadhani timu yao hii wanasiasa wanataka wapewe ushindi kwa vyovyote vile
2026-10-09 12:48:49
2
user9725912705534
seche :
Kwan aliowataja Ahmed ally ilikua uongo
2026-10-09 10:00:05
3
user8465566051380
user8465566051380 :
kwa refa huyo Simba hatuna chetu
2026-10-09 10:34:26
4
To see more videos from user @tuzoonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About