@misspirenationalofficial: Country's Power of The Year Unofficial Ranking Update โผ๏ธ 1. Tanzania ๐น๐ฟ 2. Ecuador ๐ช๐จ #missgrandinternational #tiktok #misspirenational
aijaisha adi iisheeee ๐ shwaaaa Tanzania ๐น๐ฟ โฅ โค
2026-10-09 17:26:20
0
user06642181572 :
kumbe tuliongoza
2026-10-09 11:11:53
22
hizzle lady :
hadi nimefurahi walyh
2026-10-09 12:27:38
15
Gift Kimario :
๐๐ apo bado atuja toka makazini wangoje kidogo
2026-10-09 18:17:20
3
Cathryn :
Mimi sina Raha jamanii ata kazi nimeshindwa kufanya, hili halihitaji kura2 Tuombeni guy,Tumwambie Bwana Atawale,
THE LORD REIGN IN TANZANIA ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
2026-10-09 17:10:04
9
Mercy Mavumbo :
Majirani *KENYA msaada tafadhali
2026-10-09 15:37:54
4
ammy :
wooooozaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!
2026-10-09 15:17:38
0
Press on nails & Ponytails๐น๐ฟ :
niwakumbushe, tunafollow kutoka kwenye picha kama hivi. lasivyo kura haihesabiki
2026-10-09 14:35:48
6
NUR ich. :
๐ฐ๐ช๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
2026-10-09 11:15:57
7
@KIBONA :
ivi wanatujua wabongo tukiaamua kweli au wanatu chukulia poa
2026-10-09 18:13:04
1
niyonkuru :
kwa neema ya mungu tutatwaa taji hilo
2026-10-09 16:02:35
2
Pendo collection :
equador dakika za jioniiiii ana daluki za kushinda
2026-10-09 13:04:57
1
miss Grace ๐ฅฐ :
yaan had nimecheza haka kamsiki ๐๐๐๐๐๐
2026-10-09 14:04:36
1
wei_2_22 :
ngoja nikaunde akaunt kumi mpya
2026-10-09 15:51:59
1
halimambwana958 :
wow ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-10-09 13:23:14
1
buchaina :
Tanzania ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ
2026-10-09 12:38:04
2
junebebe28๐๐ธ๐ฐ :
2026-10-09 10:57:14
1
Glory Apple :
mbona wamefanya comment
2026-10-09 12:26:20
0
jay twinnie๐ฅฐ๐ฅฐ๐ :
nenden Instagram mkapige kura jmn
2026-10-09 11:46:04
7
NILYA CUTE :
ecuadore saiv wamelala ila wakiamka uhakika watanzania hawajalala jpokua time za kull๐คฃ