yani mimi iweisiwe lazima niolewe na mzungu [Teary eyed][Teary eyed]
2026-10-10 07:23:57
31
Winnie🌹 :
Mungu kama huyu kuhusu lugha tutaongea kwa vitendo
2026-10-10 14:27:18
27
oresta kaguo :
najiungamanisha na baraka hizi
2026-10-10 06:00:56
16
queen becky :
I pray God remember me this night
2026-10-09 23:31:57
3
ray_beautysalon2 :
InshaAllah na ww Allah akujaalie mwanaume bora
2026-10-09 09:57:07
9
glorydivatz :
jmn nyie mnawatolea wap
2026-10-12 16:27:39
2
Jen✨ :
Congratulations to her 🥰
2026-10-10 12:50:48
0
najmasaidi511♊ :
Lazima nibadili Rangi huu mwaka iwe isiwe 👌
2026-10-10 12:04:15
2
terry beby :
mimi kitu najua mungu hajaniwacha wangu atajileta tu😔🙏
2026-10-10 05:37:49
3
Angness Agness nyantori :
AMINA napokea kwa jina la yesu
2026-10-10 10:57:20
0
Coco consolatte :
eeeh mungu nipe mzungu 🙌🙌
2026-10-10 14:30:18
0
Neynees💝✨ :
Mwenyezi Mungu atukumbuke, atafanyie ushuhudu ndani ya huu mwaka🙏🤲
2026-10-10 02:49:34
5
💦🧚♀️It's Habiby👸🌺 :
Wadada weus msiji chubue🥰🥰🥰
2026-10-10 15:28:44
0
ANG &,VAN :
mungu nijalie na mm
2026-10-10 09:37:50
0
Attu nyangoda :
najiungamanisha na baraka iyo
2026-10-11 09:22:29
1
Merry Shirima :
hhongeren sana mungu nakuomba uniletee mtu sahii kwangu
2026-10-10 18:18:54
1
Tinah! 💕 💙 🔐🦋 :
@Tinah! 💕 💙 🔐🦋:najaua haiwahusu msnichambe ila anaeweza anisaidie to nimeishi na mwanaume miaka mitatu bila ndoa wala mahari nilibebaga mimba nilipojifungua bahati mbaya mtoto akafa tumepanga chumba komoja ndani ya miaka yote mwanaume amekua wakuchiti kulala nakila mwanamke kualala magesti nikimwambia nitafute kazi nifanye hataki anasema nikitak kufanya kazi basi niludi kwetu tuachane mi natamani kuanza upya ila sjui pakuanzia maana sina hata mia naomba msaada nimechoka kunamuda anatumiana picha za utupu na wanawake zake nimechoka
2026-10-12 20:10:28
1
Ney🌹🤗 :
Hongera sana dada ❤️🥰
2026-10-10 09:22:23
0
It’spiii🫧🦋 :
Na mm yangu soon itakuwa iv🥰
2026-10-10 10:05:23
2
kamama.jojo1 :
Na mm nimpate mmoja khaaass
2026-10-09 15:18:28
1
Marra mussa :
Jamani tupeni code na sisi
2026-10-09 19:30:18
2
Leah Malemba :
awwww mlidamshi ajabu hope this is me somedays
2026-10-10 12:24:03
1
Anastazia :
amen
2026-10-10 07:24:26
1
To see more videos from user @teemba.mdogo, please go to the Tikwm
homepage.