Kwa Serikali hii Kila mtu atafikiwa Kwa mda wake 😳😳 Pole Sana Bro
2026-10-09 11:36:21
14
michaeluoga :
kwanza hata simjui waziri wa kilimo wa sasa, kapoa mnooo
2026-10-09 16:29:28
8
BlezAfrica Pan-African World :
KIUKWELI FOGO WE NI MTU AMBAE UNA FUTURE NA TANZANIA
2026-10-09 15:41:55
17
gody chambuu :
Chongolo hoe
2026-10-09 18:41:39
0
Sam :
Matapeli tu yamejaa huko serikalini, yanaihujumu nchi na serikali kwa ujumla
2026-10-09 14:40:36
5
kibopile jr :
Zambia mbegu zao zipo poa ukanda wa sumbawanga zinafanya kazi
2026-10-09 15:48:21
11
It’s_mucky♋️ :
True bro
2026-10-09 11:40:00
2
rais wa wagogo :
kumbe bashe alishatolewa kwenye wizara ya kilimo.
waziri wakilimo wasasa ni nani?
2026-10-09 16:30:30
6
michano music :
mwananchi shabiki wa timu ya simba amwaga machozi akimlilia mweshimiwa rais SAMIA SURUHU HASAN amrudishe aliye kuwa wazili wa kilimo katika wizara ya kilimo hapo awali
2026-10-09 12:25:26
11
Raphael Msomba :
pole brooo
2026-10-09 13:19:29
0
Black Dude :
kaka unaongea kiutani utani ila ukweli nami nimemumbuka sana BASHE. Cjyi kwann wazuri hawadumu
2026-10-09 17:19:57
4
S.I :
ila kuna ukweli ndani yake, fogo chaka to chaka ndo mchongo
2026-10-09 19:01:17
2
mbegu ya baba 22 :
kwanza waziri wa kilimo anaitwa nani naomba mnisaidie tafadhari
2026-10-09 13:06:21
6
smart cars mall :
Ukweli mtupu 100%
2026-10-09 11:29:49
6
merry :
Bora tupande zile mbegu za zaman hizi za kisasa hazifai
2026-10-09 17:11:32
2
user1201004182658 :
KWANI WAZILI WA KILIMO NI NANI KUMBE? MIMI NILIKUWA NAJUA BASHE
2026-10-09 14:26:45
2
mjanaelkanumba :
ht bashee haongelei juu ya wakulima wananyonywa mbegu za Maindi mfuko wa kilo 2 17000..alaf mkulima ananunuliwa dumu la maindi la kilo 18 wananunuliwa kwa 9000 apo napo wazr anafri
2026-10-09 17:17:31
0
cheiza isdory :
sitasahau mama yangu alinunua mbegu za mahindi Tanzania aweee aiseee sitasahau lkn Mwaka mwingine zilinunuliwa Zambia yaan tulipata mnoo