@hnswahili: Je, TISS na DCI Wapo Kulinda Taifa au Kulinda Viti vya Wenye Mamlaka?

HN SWAHILI
HN SWAHILI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 09 October 2026 11:48:00 GMT
69847
2677
93
163

Music

Download

Comments

user6294321628058
user6294321628058 :
Msigwa umepoteza mwelekeo.
2026-10-09 17:21:25
4
gabriel.urio
Gabriel Urio :
Hizi logic CCM hawazitaki na hawataki kuachia dola
2026-10-09 17:55:29
24
user7485257550226
mwakalinga :
katiba na tume huru ndio mwarobaini kwa sasa
2026-10-09 13:42:15
28
gasper.edward4
Gasper Edward :
tatizo teuzi zao ni nani anaewateuwa?kwa katiba hii ni lazima mteuliwa amuabudu mteule wake,hasa hapa nchini kwetu,
2026-10-09 12:32:30
23
mpendahaki.roman108
Kilimo kwanza :
Usalama ni machawa
2026-10-10 09:03:50
6
maisha.plus7
maisha plus :
yaani ccm ipo cku ipo cku mamae
2026-10-17 15:15:41
2
kezilahabi.mumang
kezilahabi mumangi :
unataka wapinzani watulie kivipi wakati sheria na vyombo vya ulinzi vinalinda ccm na watawala
2026-10-09 15:08:01
6
erasmusmallya90
Erasmus Mallya :
leo msigwa umeongea ipasavyo
2026-10-09 17:35:16
17
gilberty18
Gabali..3.6.9 :
Sio yote aliyosema ukazingatiya ila kila alilosema unaweza lizingatiye kama unaipenda nchi yako( elewa..)
2026-10-09 19:13:00
4
glasswiyne
glasswiyne :
sahihi msigwa
2026-10-09 18:23:40
8
tonydranage
power house :
Huyu mtu anaakili Sana anaongea utafikiri anasoma sehemu
2026-10-09 21:04:08
4
kp7062
KP :
Haya ndio madini
2026-10-09 15:41:32
10
user5499440553281
362079 :
kazi nzuli humeifanya uhu ndio ukwelii mola ni mkubwaaa
2026-10-09 14:40:11
8
joseph77593
oswardka :
jamaa anakili sanaaa hapo ccm tial washamaidi
2026-10-09 21:33:07
3
massawejunior6
Massawe Junior🇹🇿 :
nakuteuwa uwe rais 2030
2026-10-21 06:40:37
2
bahatimokiwa608
B .A .MOKIWA :
washa taa plz
2026-10-09 16:32:47
2
ramadhanhassan901
Ramadhan Hassan :
ahsante bab
2026-10-09 19:30:03
2
juliasjackobo
Julias Jackobo :
kweliiii baba
2026-10-10 03:15:47
3
sheby_011
sheby 01 :
😂😂😂 anachokisema ukikikileta kwenye picha
2026-10-15 08:50:56
3
moses_george3
M.G :
salute kaka ,usalama unalinda ccm sio taifa
2026-10-10 06:14:13
1
ramadhanimbulu
ramsey white :
AKILI KUBWA!!
2026-10-10 05:57:12
1
user8521707603129
user8521707603129 :
hii ni Akili kubwa inaongea
2026-10-09 21:48:39
1
stephenjulius825
Julius Stephen :
nawapenda san wat kam hawa uwazii na ukweli☺️😊
2026-10-20 06:09:39
2
bertoldluambano
Bertold :
Ndugu yangu ndugu yangu MSIGWA. BADO TUNAKUITAJI SANA, KWA HAPO BAADAYE. USIFE MAPEMA. kaa kimya.🤔🤔😱😱😱😱😱🙆🙆🙆😭
2026-10-10 18:14:38
2
user9595007533090
BEA SIMBA :
in god we trust 💯🙏
2026-10-17 16:29:12
1
To see more videos from user @hnswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About