@lishe_yamamanamtoto: Kila siku si lazima mwanao ale chakula kilekile! 😍🥣 Kuna namna nyingi za kuandaa vyakula tulivyo navyo nyumbani na kupata milo mbalimbali yenye lishe. Leo tumekuletea wazo jingine zuri la kumpikia mwanao. ❤️ 📲 Kwa mapishi zaidi, bofya link kwenye bio ujaribu LisheBora App.